Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Mwanaume hakutani na mwanamke mtandaoni. Alafu mavazi hayana mabadiliko labda kama una maisha ya kuunga unga kwamba kuna nguo za mtoko au sikukuu. Kiufupi unasafari ndefu sana ya kujielewa hapa duniani
 
Back
Top Bottom