Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Navaa Dela na pens ndani Ili likitokea mvurugano wa kuagiza na kupokea bidhaa tofaut nianze mbio hapo hapo tutapokutana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii mie sitakiii.
 
Umenikumbusha mbali Sana,Kuna roommate wangu enzi nasoma alipata boyfriend,so kila akimpa date watoke out dada anakimbilia kkoo kununua nguo mpya🤣🤣😂kumbe alisahau kuwa mtu mpya na nguo zako zote kwake Ni mpya
😂😂 akili
 
Hebu semaa unavaaje wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️!! Nina nguo za maana Shougaaangu!!
Hata thijuiiii😂
 
Ngoja nikusaidie nikuwekee unyama wangu hapa utakusaidia mkuu.View attachment 2586378View attachment 2586381View attachment 2586379View attachment 2586380View attachment 2586382
Screenshot_20230413-131656.jpg
 
Back
Top Bottom