Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

uzuri wa demu unaeenda kukutana nae kwa mara ya kwanza kila nguo yako anakua anaiona mpya
Umenikumbusha mbali Sana,Kuna roommate wangu enzi nasoma alipata boyfriend,so kila akimpa date watoke out dada anakimbilia kkoo kununua nguo mpya๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚kumbe alisahau kuwa mtu mpya na nguo zako zote kwake Ni mpya
 
Wakuu, nijibuni haya maswali:-

Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni?

Na kwanini unavaa hayo mavazi?
Mkuu nenda kwenye maduka ya nguo huko utakutana na wanamitindo swali lako litajibiwa huko sisi hatuwazii matambara bali eleri.
 
Back
Top Bottom