Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Ndio nguo zangu za kawaida za kushindia na kwa sababu huu ni msimu wa baridi ila ingekua kile kiangazi chenyewe nashinda na pensi nyanya juu kifua wazi nikitoka nje navaa T shirt kubwa.Kwa nini uvae hizo nguo