Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

.......ngoja nipate mchuchu kwanza afu nione ntavaaje then ntakoment, nadhani ntajiandaa vizuri kama vile nilivyokua naandaa nguo za kwendea dar wakati huo........
 
Wakuu, nijibuni haya maswali:-

Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni?

Na kwanini unavaa hayo mavazi?
Mchuchu si anakuja gheto sasa twende wapi?

Track yangu nyeusi na T shirt ya kushindia form six safi safi. Labda uniulize namuandalia nini akifika gheto kwa maana ya mapochopocho na masapta sapta
 
Back
Top Bottom