Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Mchuchu si anakuja gheto sasa twende wapi?

Track yangu nyeusi na T shirt ya kushindia form six safi safi. Labda uniulize namuandalia nini akifika gheto kwa maana ya mapochopocho na masapta sapta
Kwa nini uvae hizo nguo
 
Unatakiwa kuwa wewe usifoji....vaa mavazi yako yanayokufanya unakuwa comfortable itakupa confidence,ukifoji tu umeshaharibu
Nitakuja hivi,usinikimbie
kk.jpg
 
Back
Top Bottom