Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Acha maneno, nipige pigo gani matata ili akiniona tu, awe hoi, awe amenyeshewa na mvua?
Screenshot_20230413-154104.png

Mpigie gupensi namna hii
 
Wakuu, nijibuni haya maswali:-

Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni?

Na kwanini unavaa hayo mavazi?
Navaga suti ( kaunda suiti na miwani myeusi ).. napewa siku hiyo hiyo mzigo
 
Wakuu, nijibuni haya maswali:-

Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni?

Na kwanini unavaa hayo mavazi?
mi natupiaga kama alivovaa Juma nature juzi alipokutana na JK😂
 
Back
Top Bottom