Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Kwa mbinu hizo halafu uniambie we Ni mshamba,we lazima ni downtown kitambo....Maana Kuna wakaka wanaipenda kujifanyaga Ni Tiss Ila sikujua huwa Wana apply hiyo Hadi kwa kujilia totoz
😅😅😅 aaah mie maneno mengi tu, dar yenyewe sijawai kanyaga nipo zangu kwetu huku machakani, huo udowntown niutolee wapi.. nasomaga fb naiga naleta huku.. mie mshamba tu
 
😅😅😅 aaah mie maneno mengi tu, dar yenyewe sijawai kanyaga nipo zangu kwetu huku machakani, huo udowntown niutolee wapi.. nasomaga fb naiga naleta huku.. mie mshamba tu
Bora ubaki huko huko maana ikiingia jiji la vichaa ndio utaleta balaa kabisaaa...maana we Ni mshamba uliechangamka
 
Bora ubaki huko huko maana ikiingia jiji la vichaa ndio utaleta balaa kabisaaa...maana we Ni mshamba uliechangamka
MJini kwenu bakini napo tu 🙂🙂 mnaisha complex sana.. kila kitu hela alafu janja mingi
 
Mi huwa navaa kawaida tu chochote ntakachojiskia kuvaa siku hiyo ila napendelea suruali na blauz, sitosahau siku nimeona nimevaa zangu vizuri tu, nikasemwa ile siku ulivaa kama unaenda kanisani nikajiskia vibaya yaani mtoko wa babe kama naenda kanisani kweli😀
 
Mi huwa navaa kawaida tu chochote ntakachojiskia kuvaa siku hiyo ila napendelea suruali na blauz, sitosahau siku nimeona nimevaa zangu vizuri tu, nikasemwa ile siku ulivaa kama unaenda kanisani nikajiskia vibaya yaani mtoko wa babe kama naenda kanisani kweli[emoji3]
Wewe ni Mimi....

Mimi navaa chochote kinachonifanya niwe Comfortable...
 
Na sisi ambao hatuna hao wapenzi je ni singlend na pens sema uwe na mguu sio kamguu kma chupa ya pepsi
 
Back
Top Bottom