Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Wakuu, nijibuni haya maswali:-

Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni?

Na kwanini unavaa hayo mavazi?

smart casual!

mapenzi ni kama bahari, yakupwa na kujaa, hivyo usi-complicate kihiivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…