Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Sasa nyie wa vyombo vya habari mtamuona vipi kama hawa watu hawataenda ili awahutubiehuwa najiuliza swali kama hili nakosa jibu, haswa nini kipya kinachofanya watu warundikane kusikiliza na kumuona mtu fulani wakati unaweza kumuona na kumsikia kwenye vyombo vya habari huo muda wanaotumia wakafanya shughuli nyingine za muhimu?
View attachment 2880344
Itakua Hawa wanasiasa wanatumia dawa kuvuta watu sio bure.huwa najiuliza swali kama hili nakosa jibu, haswa nini kipya kinachofanya watu warundikane kusikiliza na kumuona mtu fulani wakati unaweza kumuona na kumsikia kwenye vyombo vya habari huo muda wanaotumia wakafanya shughuli nyingine za muhimu?
View attachment 2880344