- Mara nyingi historia yake huwa na afanikio kabla hajaanza ulevi, mfano utaambiwa alikuwa ana akili sana darasani
- Anazijua siri nyingi sana kuhusu mama yako pengine hata baba baba yako wa kweli sio huyo unaemjua
- Kila mwaka utasikia nusu afe
- huhudhuria misiba mingi sana na kujitoa kwenye shughuli za msibani
- huwa hawaoi au walishaachwa
- maisha yake yapo kwenye auto pilot
- huwaga ni mkeli, mwenye roho nzuri na rafiki wa kweli
-
😂Du kweli kabisa
Na uchagani wajomba wan nguvu hatariNimejaribu kumlika kule Ibaraizibu sijaona mjomba wa namna hiyo.
Hawa watakuwa wajomba tokea pande za uchaggani.
Dah juzi kati nilikunywa nikalala kuamka naingia jf nakuta nimeandika madudu hatari , mara nina pesa sijui nini yani nilikesha nikifuta aseee🤣🤣Ila mimi mjomba wangu ni mmoja tu na hua anakunywa kistaarabu,
Asante sana mjomba min -me kwa kuiheshimisha familia yetu.
Ni nadira sana kumkuta mlevi ambae hakutrend huko nyuma...Du kweli kabisa
Mi jumamosi nimelewa nikaanza kumtongoza muhudumu ambae nilishawahi kupita naeDah juzi kati nilikunywa nikalala kuamka naingia jf nakuta nimeandika madudu hatari , mara nina pesa sijui nini yani nilikesha nikifuta aseee🤣🤣
Ukaamua kunianika
- Mara nyingi historia yake huwa na mafanikio kabla hajaanza ulevi, mfano utaambiwa alikuwa ana akili sana darasani, alikuwa hakosi kanisani, alikuwa mfano kwa vijana wengine, n.k.
- wanazijua siri nyingi sana kuhusu familia, hata baba yako wa kweli yeye ndie anamjua
- Kila mwaka utasikia nusu afe
- huwa hawaoi au walishaachwa
- maisha yake yapo kwenye auto pilot ni ngumu kuelewa ana survive vipi ila ana survive
- yupo peace, mshauri mzuri, hana makuu, ila haheshimiki sababu hana hela
- kazika marafiki wengi na bado ana marafiki kibao
- huwa wana pair moja ya viatu
- hubaki kijijini kuwakilisha familia kila mtu akirudi mjini, husafisha mazingira, kulisha mifugo
Pombe sio chai asee😅Mi jumamosi nimelewa nikaanza kumtongoza muhudumu ambae nilishawahi kupita nae