Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Vikwazo vya aina hiyo ulaya nayo itaumia
 
sio mtu yeyote sema mtu mdhaifu
IRAN
RUSSIA
CUBA
VENEZUELA
KOREA NORTH
CHINA
hawa wote nilokutajia wanavikwazo kadha wakadha wameekewa na US nambie wamesarenda kwenye nn je IRAN na KOREA wameachana na program zao zakurutubisha Nyuklia?
RUSSIA huyu walituaminisha kua wamemuekea vikwazo kadhaa ila wakamuekea vikali baada ya kuikwapua CRIMEA je CRIMEA imerejea UKRAINE
VENEZUELA hapa bwana maduro aliekewa vikwazo vyote kuna muda mpaka mafuta yakawa yanatoka IRAN wameeka vikwazo kwamba jamaa sio rais halali wao wanamtambua guaido je MADURO hayupo madarakani?
CHINA huyu ana vikwazo kila angle bado yuoo kama awali
CUBA nae halkadhalika
vikwazo vimefaulu zimbabwe sababu kalikua kafailled states flan hv
nb:-kwamataifa yanayojitambua kama hayo nilokutajia hapo juu usitegemee kama yatasarenda sababu yavikwazo vyakiini macho vya US na vibaraka wake
 
Mnaandika vitu bila hata kujua mnachokiongelea nn?
US pekeyake hawezi kitu angalia vita ya kuisambaratisha Afighanistan na Iraq aliomba msaada mataifa kibao lakn anaepigananae yupo alone. Hata kumpiga Gaddaf alikuwa yy na Ufaransa.
 
Asante sana kwa ufafanuazi, watu wanadanganya sana kuhusu UJAMAA eti unaweza kua strong kuuzidi UBEPARI
 
Hata hiyo NATO ni kiini macho.Ni bora Ulaya wakaunda umoja wao wa kijeshi .

Eti saizi Marekani anawaambia Raia wao waondoke Ukraine.
Wakati wa mwanzo wa COVID-19, nchi kadhaa duniani zilifunga mipaka yake na kuondoa raia wao kadhaa walioko nchi zingine mbalimbali pamoja na kwamba nchi hizo ni washirika.

Nchi kuondoa raia wake kutoka katika maeneo yenye migogoro au majanga ni protokali ya kawaida kabisa ya masuala ya usalama. Suala hilo halina mahusiano yoyote yale na ushirika kati ya nchi na nchi.
 
Watu wengi wana uelewa finyu sana, ni wachache sana wanaoweza kukuelewa.
 
Wewe umeelewa kinyume na maumbile, the reverse of what you have written is what's prevailing
 
Kiukweli nchi pekee nnayoiona imebeba viumbe jasiri kwenye sayari hii ni korea kaskazini tu. Huwa najiuliza wanachojiaminia wale jamaa nakosa majibu kabisa
 
Kiukweli nchi pekee nnayoiona imebeba viumbe jasiri kwenye sayari hii ni korea kaskazini tu. Huwa najiuliza wanachojiaminia wale jamaa nakosa majibu kabisa
Viumbe gani jasiri?

Nchi ambazo ni jasiri zaidi ni miongoni mwa nchi ambazo zimewahi kupigana na kushinda vita nyingi zaidi katika historia ya nchi hizo. Korea Kaskazini wala sio miongoni mwazo.
 
Russia arejeshe Alaska kibabe, make Marekani ni waoga mno hawatafanya kitu.
 
Bado Marekani huyohuyo amekusanya mataifa mengi wameungana kwaajili ya kuikabili Urusi lakini bado wameishia kwenye taarabu
Urusi ndo mwimba taarabu si anatak kuivamia ukrain.macha mengi S300,S400, hatuoni kazi yake pale syria why mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…