Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Aliivamia Marekani akaichapa[emoji23][emoji23], ulizia Genaral Soleimani aliko, yuko ahera madukani[emoji1787][emoji1787]
baada ya soleiman kufa unajua nini kilifata ha ha ha ha kambi ya kijeshi iligeuzwa magofu ya sobibo ha ha ha ha paka leo marekani hana hamu na iran hata kidogo. Juzi wakimbizwa afghanistan kama popo mwitu ha ha ha ha ha wavaa makobasi is next level
 
Sababu anayo tena kubwa tu,Ukraine wanataka ku side na EU na ku joing NATO hii ni sababu tosha kwa Putin kuingia Ukraine mara ya pili.
Ukiskiliza demand za Russia kwenye majadiliano yanayoendelea,hitaji kubwa la Russia wanataka wahakikishiwe kwamba Ukraine itaachana na wazo lake la kujiunga na NATO,na pia NATO ipunguze millitary presence in west Europe.
Halafu pia suala la resolution UNSC,endapo China ata vote against,that means amehalalisha uvamizi wa nchi yenye nguvu kuzivamia nchi thaifu bila kuulizwa wala kukemewa na nchi yoyote,yaani watakuwa wame set precedence hapo,Mfano leo UK ataweza ivamia Tanzania sababu tu lilikuwa koloni lake bila kuulizwa wala kuhojiwa na UN wala taifa lolote,Kuna some calculations hapo mkuu sio tu just ku vote kisa ni ally.
Ni kweli wanataka lakini bado hawajaingia NATO, redline ni Ukraine kuingia NATO.
pia NATO wenyewe hawaitaki Ukraine kuwa mwanachama ni basi wanajikosha kwa kuwa wanaona Urusi anawaingilia kwenye mambo yao.

China kuwa upande wa Urusi ina faida kwake kumbuka yeye mwenyewe ana mgogoro wa Taiwan lakini hata China asipopiga kura bado Urusi inaweza kuzuia resolution kwa kuwa ni mwanachama wa kudumu.

Marekani na nchi za ulaya kwa ujumla zimeanza kuvamia nchi dhaifu zaidi ya miaka 100 iliyopita na hadi leo bado wanaendelea kwahiyo kama ni precedence tayari ipo wala Urusi haitokuwa nchi ya kwanza.
 
baada ya soleiman kufa unajua nini kilifata ha ha ha ha kambi ya kijeshi iligeuzwa magofu ya sobibo ha ha ha ha paka leo marekani hana hamu na iran hata kidogo. Juzi wakimbizwa afghanistan kama popo mwitu ha ha ha ha ha wavaa makobasi is next level
Watu wanaua top leader wewe unalipa kwa kubomoa ukuta!![emoji2][emoji2] Mbona hiyo hata Mimi naweza[emoji2]. Kwa taarifa yako Soleimani alikuwa kiongozi wa pili mwenye ushawishi na nguvu nchini Iran. Na pia Iran ilipata hasara nyingine ya raia wake zaidi ya mia kuuwawa kwenye ajali ya ndege ya michongo[emoji3][emoji3].
 
US pekeyake hawezi kitu angalia vita ya kuisambaratisha Afighanistan na Iraq aliomba msaada mataifa kibao lakn anaepigananae yupo alone. Hata kumpiga Gaddaf alikuwa yy na Ufaransa.
Uko sahihi, ukisikia mikwara ya Marekani unaweza kudhani anaweza kupigana na Urusi, kumbe wala hawezi, anakimbilia kuweka vikwazo. Wakati Urusi wamechukua jimbo la Crimea toka Ukraine, Marekani iliwalazimisha Ulaya Magharibi ziweke vikwa zodhidi ya Urusi. Wakafanya hivyo. Wakasahau kwamba bidhaa zao nyingi (maziwa, nyama, bidhaa za ngano nk) soko lake ni Urusi na wao wanatemegea gesi na mafuta toka Urusi. Wakajikuta Urusi nae anapiga marufuku mazao na bidhaa kutoka Ulaya Mgaharibi, vikwazo vikaumiza wao wenyewe. Kimsingi Urusi na China ni marafiki na majirani wazuri, vikwazo havitaiathiri sana Urusi, vitaathiri Ulaya Magharibi. Tega sikio
 
Watu wanaua top leader wewe unalipa kwa kubomoa ukuta!![emoji2][emoji2] Mbona hiyo hata Mimi naweza[emoji2]. Kwa taarifa yako Soleimani alikuwa kiongozi wa pili mwenye ushawishi na nguvu nchini Iran. Na pia Iran ilipata hasara nyingine ya raia wake zaidi ya mia kuuwawa kwenye ajali ya ndege ya michongo[emoji3][emoji3].
vyovyote ile trump alipa kulipa kisasi lakin mpaka leo kimya ha ha ha ha ha kumbe trump aliona ligi na iran haiwez ha ha ha ha ha aendelee ku deal na al shabab ha ha
img_2_1640208194420.jpg
 
vyovyote ile trump alipa kulipa kisasi lakin mpaka leo kimya ha ha ha ha ha kumbe trump aliona ligi na iran haiwez ha ha ha ha ha aendelee ku deal na al shabab ha haView attachment 2096249
Yeye aliua Top leader wa Iran hadi sasa Iran haijalipa kisasi, kubomoa ukuta na kudhani ndo kisasi cha Soleimani ni kumdhalilisha na kumkosea heshima General Soleimani. Ni kujitekenya na kucheka mwenyewe[emoji23][emoji23].
 
huna jipyaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Fanyeni kitu kwa ajili ya kifo cha shujaa General Soleimani, msijitekenye na kucheka kwa kubomoa ukuta[emoji2][emoji2], bado general anawadai kisasi chake, ua hata yule General Mad Dog na tena kwa Sasa hayuko madarakani na kwa vyovyote vile atakuwa alihusika kupitisha shambulio lililondoa uhai wa Soleimani, mkifanya hivyo Soleimani atafurahi sana huko aliko[emoji1787]
 
Umechangia vizuri na huu ni mjadala was kawaida tu.
Sasa kulikua na haja gani kuniita punguani.
Mimi nimetoa maoni yangu,nawe umetoa yako Tena vizuri tu.ulichoharibu ni kuniita punguani.asante kwa hilo pia Asante kwa maoni yako mazuri yenye data.
Mnaitwa mapunguani kwa kushabikia story zenu za kwenye kahawa.... Wengi mnaaminishwa marekani anaiogopa Russia... Nimesoma mchango wako kweli wewe ni punguani kabisa[emoji41]
 
Mnaitwa mapunguani kwa kushabikia story zenu za kwenye kahawa.... Wengi mnaaminishwa marekani anaiogopa Russia... Nimesoma mchango wako kweli wewe ni punguani kabisa[emoji41]
hapa Jf nchi inayopigwa na marekani ni burundi tu ila zingine zote zinaipiga marekani[emoji23][emoji23].
Kuna vituko Jf hadi raha.
 
Marekani sio wapuuzi kama unavyofikiri, wamwjipa muda wa kurekebisha uchumi ulioyumba kipindi cha Bush na Obama kidogo.
Mpango wao wa kuchagua wazee kwa vipindi 2 mfululizo ni mkakati wao kwani wazee hawana kazba.
Trumph hakupenda vita zaidi ya mikwara ndio maana alijishusha akaongea na Kiduku.
Biden ndio kabisaa hata kusikia vita, kwa ujumla Marekani imepoa.
Baada ya Biden rais ajaye atakuwa mtu wa makamo na hapo ndipo tutauona moto wake.
[emoji23][emoji23][emoji23]wamarekani wa buza banaa[emoji16] wanavyoota ndoto za mchana
 
Kwa Mtanzania mwenye akili ya kijiweni sio rahisi kueleweka.
Mchina kwa trend yake hana future nzuri kibiashara, biashara ni jina tu.
Ww pwehe kweli yaani na maisha yako hutoona future nzuri ya china wakati gentoni kwako kumejaa vifaa vya kichona huku ukitumia made in China kutype huu upupu
 
Hii siyo speed ya magari, kwamba yanapitana ndani ya muda mfupi. China katoka alikotoka huko kapita nchi zote mpaka kuwa namba mbili, now anamsaka alieko hapo juu. Karibu ashafanikiwa katika mengi amebaki kumdondosha.
Yani ukigusa kokote mchina kwa sasa yuko vizuri.
Iwe technologu, uchumi, jeshi, anga, culturual influence, n.k
Huku ndo tunamchukulia poa, Marekani hamchukulii poa hata kidogo ndo maana kila kitu anamsingizia mchina. Yani kwasasa Mchina ndiye anacompete moja kwa moja na US
Waulize humu kuanzia wanavyovaa, wanavyotumia mpaka walivyonavyo kwenye mageto yao walete kimoja tu made in amerika [emoji23], hawa jamaa ni wapumbavu sana
 
Ila dunia inaenda kasi sana ...Sio dunia ya miaka 90 na mwanzoni mwa miaka 2000...
Tunakoelekea inaonyesha ni ngumu sana kudhibiti ( Monopoly) technology kama zamani....Ona uwezo wa silaha wa Nchi zinazonyanyuka kama KOREA KZ,. IRAN, TURKEY, India nk....
Itafika mahali kumiliki silaha fulani haitoshi wewe kuweza kuishambulia tu nchi bila ya wewe kupata madhara..
Hata Russia anawaza mara 2 kuushambulia UKRAINE...
Issue sio tu kushinda bali damages baada ya vita....Hilo ndio maana US anahangaika na ': Nuclear deal"' na IRAN
Ndo maana Israel anaumiza kichwa kwa IRAN, vivyo hivyo IRAN kwa ISRAEL..
Korea kz ana test silaha kila siku watu wanaangalia tu.
Zile zama za WEST na US kutamba pekee zinayoyoma...Silaha pekee wanayotegemea ni UCHUMI,. kitu ambacho Mchina anakuja ku- ibalance dunia Ktk kutegemea West na US...
Nawaza miaka 30 ijayo Geo politic itakavyokuwa . Je US ataendelea kumudu kuilinda Taiwan, UKRAINE , Israel nk...au zitasimama zenyewe?...Je kwa utawandawazi ulivyo na usiri wa technology nchi ngapi zitainuka Ktk ujuzi wa vitu mbalimbali ikiwemo silaha..?
Kuna watu bado wanamdoto humu hawataki kuamini
 
Sijui nikuite Punguani au Layman?

Bila NATO Urusi ataifanya Nini Marekani?

NATO ina jumla ya Wanajeshi 450,000. Kati ya hao Wanajeshi wa Marekani ni 370,000. Nchi 29 zilizobaki Zina Wanajeshi 80,000 ndani ya NATO.

NATO ina Aircraft Carrier 27. Kati ya Hizo 22 ni za Marekani. Nchi 29 zilizobaki Zina Aircraft Carrier 7 tu.

NATO ina Combat Tanks 27,000. Kati ya Hizo, 19,000 ni za Marekani. Nchi 29 zilizobaki kwa pamoja Zina Combat Tanks 8,000.

Bajeti ya NATO kwa mwaka ni $ 1,019,000,000,000.($ 1.019T). Kati ya Hizo, $ 760,000,000,000 ni za kutoka Marekani. Nchi 29 zilizobaki zinachangia Nusu ya Marekani kwa pamoja $ 300,000,000,000.

NATO ina Jumla ya Nuclear Waepons 7,200. Kati ya hizo, 6,500 ni kutoka Marekani. Nchi zingine 29 kwa pamoja Zina Nuclear Waepons 700 tu.

NATO ina Jumla ya Fighter jets 3,500. Kati ya Hizo, 2,700 ni Kutoka Marekani. Nchi zingine 29 zinachangia Jumla ya Jets 800 tu.

Huwa mnaposema sijui eti Marekani bila NATO hawezi kupigana wakati mnajua kabisa Marekani ndio NATO kwenye Kila Kitu,bila Marekani hakuna NATO.

Lengo la Marekani kwenye NATO sio kutafuta Support ya nchi za Ulaya Kijeshi bali ni Hofu ya Marekani kwamba Urus atazimeza nchi za Ulaya Mashariki tangu USSR kusambaratika. Ndio maana kwenye huu mgogoro wa URUS na UKRAINE,Mataifa madogo ya Ulaya Mashariki Kama LATVIA,LITHUANIA,ROMANIA na ESTONIA ambao ni wanachama wa NATO wameiomba Marekani iongeze Wanajeshi wake kwenye Mataifa hayo na Siraha nzito ili kuyalinda dhidi ya Urusi.

Ndio Maana Marekani imeahidi kwamba endapo Urus itaivamia Ukraine kijeshi basi Marekani haitatuma Wanajeshi wake kwasababu Ukraine sio Memba wa NATO. Lakini ikaahidi Urus itajutia kitendo chake make Marekani itaongeza idadi ya vikosi vyake na Siraha nzito kwenye Mataifa ya Ulaya Mashariki ili kuyalinda dhidi ya uvamizi wa URUS. Ndio Maana mpaka Sasa Putin kagoma Kuvamia Ukraine.
Porojo jingi unajua jana Marekani kasema hatopeleka wanajeshi mgogoro wa Russia na Ukraine bali atapeleka silaha tu na mahement [emoji16]
 
Siku marekani ikiwa overthrown kama nchi superior duniani..jua usalama na amani ya dunia umeisha..

#MaendeleoHayanaChama
Wapuuzi ndio mnaamini hivyo, lakini hamjui kuwa huyo ndio kinara wa ugaidi na anaongoza kuuwa mamilioni ya watu na kuzigawa nchi ? Hivi nyinyi mnafkiria kwa kutumia nini kama si makalio
 
Back
Top Bottom