Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Singapore ilijenga natural man island pale, kwa ajili ya makazi na mahoteli. Mchina kakinunua hicho kisiwa chilote, siyo serikali bali raia wa china ndiyo walionunua karibu nyumba zote pale kisiwani. Ikaonekana kama vile ni china town in singapore maana sasa kola kitu pale kikawa china china. Wazawa wa singapore hawakuwa na uwezo wa kuafford kununua makazi mle. Mwisho ilibidi serikali ibandon hiyo project ya hicho kisiwa.
Huko Asia Mchina anawavuruga sana maana ana mapesa anayamwaga mwaga tu kila anakojisikia.
Personally mchina namuona ni worse sana kuliko wazungu japo wote wanyonyaji ila mchina ni mnyonyaji zaidi ya kupe. Sema it seems now ni unstoppable.
Wachina wanasystem moja ambayo Government inakukopesha billions ya hela uwende ukafanye uwekezaji nje au ndani ya nchi hio, huku unarejesha, ukizihonga hela na kula bata wakija kukudai huna wanakunyonga
 
Nafahamu kuliko unavyofahamu.
Shida ya mchina anachanganya bidhaa hafifu na bora, angekuwa na std moja angetoboa.
Lakini kwa mseto huu kibiashara ni kifo.
Mkuu baadhi ya nchi kama yenu ndio mnaletewa baadhi ya vitu fake ila ukienda hapo Rwanda kifaa kutoka China ni quality, jamaa wanatabaka ww ukitaka hata kiatu cha dola 1 utakioata China na ukitaka kiatu cha dollaer 1000 hichohicho utakipata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]#UPDATE US Secretary of State Antony Blinken says he will speak to Russian Foreign Minister Sergei Lavrov in the "coming days" amid fears that Moscow could invade Ukraine
 
Kwa kuongeza tu,Marekani na NATO wanamsubiri Putin aingie mtego wa kuivamia Ukraine,Then wanaitisha emergency meeting UNSC wakiomba ruhusa waisaidie Ukraine silaha za ukijilinda against uvamizi wa Urusi,hapo nchi nyingi zita suppoert sababu Russia wataonekana wavamizi kwenye nchi9 huru,kama ilivyokuwa kwa Kuwait walipovamiwa na Sadm Hussein 1991.Sasa hapo Marekani na NATO watamwaga silaha Ukraine kwa Ruhusa ya UNSC ndio moto utawaka sana tu,na Dunia yote watamuona Russia mvamizi kama walivyoiona marekani mvamizi wa Iraq 2003,unfortunately Russia hawawezi kuingia kwenye huu mtego hata siku moja.
"Marekani na NATO wanamsubiri Urusi aingie mtegoni".
Hapa pia bado anaonekana Marekani kutegemea zaidi msaada wa ulaya (NATO)kudili na Urusi.
Yaani sio Marekani peke yake.
Asante kwa kuniunga Mkono Sir Chief.
 
Kwa kuongeza tu,Marekani na NATO wanamsubiri Putin aingie mtego wa kuivamia Ukraine,Then wanaitisha emergency meeting UNSC wakiomba ruhusa waisaidie Ukraine silaha za ukijilinda against uvamizi wa Urusi,hapo nchi nyingi zita suppoert sababu Russia wataonekana wavamizi kwenye nchi9 huru,kama ilivyokuwa kwa Kuwait walipovamiwa na Sadm Hussein 1991.Sasa hapo Marekani na NATO watamwaga silaha Ukraine kwa Ruhusa ya UNSC ndio moto utawaka sana tu,na Dunia yote watamuona Russia mvamizi kama walivyoiona marekani mvamizi wa Iraq 2003,unfortunately Russia hawawezi kuingia kwenye huu mtego hata siku moja.
usisahau hio kura kwenye UNSC inahitajia kupigiwa kura wakati huo huo RUSSIA nimwanachama wakudumu wa UN kwenye wale watano
mnamuona RUSSIA hana akili eeeh kama walishindwa.kuitisha hio kura mwaka 2014 wataweza leo wao kama wamefikiria hapo wenzao wamefikiria zaidi ya hapo
 
Kwani Cremia haikuwa sehemu halali ya Ukraine?! Kumbuka Alaska ilikuwa sehemu halali ya Urusi viongoza wa zamani wa urusi wakauza, Sasa yeye si unamsifia hapa ni mababe afu mmarekani ni muoga, Basi areje ardhi yake kibabe make hakuna atakachofanywa.

Unasema "Urusi akifanya hivyo" unataka kusema urusi anao uwezo uwezo wa kufanya hivyo?!
wee jamaa unashida gani?
tutajie viongozi waloiuza KRIMEA halaf tuendelee kukuelewesha mambo yanavyoenda
 
Mshirika pekee wa maana wa Korea Kaskazini ni China, ingawa nao ni ushirika wa mashaka sababu kuna wakati huwa wanazinguana.

Siku Korea Kaskazini ikijaribu kuanzisha vita ya namna hiyo hakuna atakayeiunga mkono. Hao wanaosemwa kuwa ni washirika wake ndio ambao watakuwa mstari wa mbele kumdhibiti.
inahitajia kujitoa ufahamu sana ndio uutilie mashaka uhusiano wa KOREA NORTH na UCHINA hawa mabwana uhusiano wao hauna hata chembe yashaka kabisa
 
Ukraine ni nchi huru brother,Mfano China aki vote against that means amehalalisha nchi yoyote yenye nguvu kuvamia nchi yoyote huru bila kuulizwa wala kuchukuliwa hatua.Hapo kuna some sort of calculations mkuu sio tu ku vote and go.
sasa shida sio nchi huru shida ninguvu ya kura ya VETO tuseme UCHINA asi vote hay aki VOTE yey mwenyewe RUSSIA?
 
Mtoa mada ulitakiwa kujua kwanza why urusi inataka kumvamia Ukraine,na why NATO anahusishwa,husingekua na swali why marekani anamuhitaji NATO katika mgogoro huu.
 
inahitajia kujitoa ufahamu sana ndio uutilie mashaka uhusiano wa KOREA NORTH na UCHINA hawa mabwana uhusiano wao hauna hata chembe yashaka kabisa
Ni kwa vile tu haufahamu jinsi ambavyo uhusiano wao ulivyo.

Sasa, fahamu kuwa China imekwisha unga mkono vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini na kuiwekea vikwazo vya kiuchumi mara kadhaa kutokana na masuala yake ya nyuklia.

Ilifika hatua Korea Kaskazini ikawa inaishambulia China waziwazi kwenye vyombo vyake vya habari kwamba China ni taifa la kinafiki likishirikiana na Marekani.

Kuna maneno mengine makali sana yalikuwa yakitolewa na Korea Kaskazini juu ya China sitayasema hapa. China ilizuia mpaka bidhaa mbalimbali kutoka Korea Kaskazini kuingia nchini China.

Hayo ndio mashaka yenyewe! Kuna swali?
 
kama uhusiano wa UCHINA na KOREA ungekua unashaka KOREA isingeweza kuwepo mpaka muda huu
 
Ni kwa vile tu haufahamu jinsi ambavyo uhusiano wao ulivyo.

Sasa, fahamu kuwa China imekwisha unga mkono vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini na kuiwekea vikwazo vya kiuchumi mara kadhaa kutokana na masuala yake ya nyuklia.

Ilifika hatua Korea Kaskazini ikawa inaishambulia China waziwazi kwenye vyombo vyake vya habari kwamba China ni taifa la kinafiki likishirikiana na Marekani.

Kuna maneno mengine makali sana yalikuwa yakitolewa na Korea Kaskazini juu ya China sitayasema hapa. China ilizuia mpaka bidhaa mbalimbali kutoka Korea Kaskazini kuingia nchini China.

Hayo ndio mashaka yenyewe! Kuna swali?
[emoji23][emoji23][emoji23] ww jamaa ni zaidi ya comedy, eti China imeshaunga mkono vikwazo dhidi ya Korea kaskazini, yaani si tu muongo bali pia unandoto ambazo ni mzigo kichwani mwako [emoji16]
 
Back
Top Bottom