Kwa kuongeza tu,Marekani na NATO wanamsubiri Putin aingie mtego wa kuivamia Ukraine,Then wanaitisha emergency meeting UNSC wakiomba ruhusa waisaidie Ukraine silaha za ukijilinda against uvamizi wa Urusi,hapo nchi nyingi zita suppoert sababu Russia wataonekana wavamizi kwenye nchi9 huru,kama ilivyokuwa kwa Kuwait walipovamiwa na Sadm Hussein 1991.Sasa hapo Marekani na NATO watamwaga silaha Ukraine kwa Ruhusa ya UNSC ndio moto utawaka sana tu,na Dunia yote watamuona Russia mvamizi kama walivyoiona marekani mvamizi wa Iraq 2003,unfortunately Russia hawawezi kuingia kwenye huu mtego hata siku moja.