lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
- Thread starter
- #281
Nakubaliana na wewe Mia kwa Mia.Sio kuogopa! Hakuna nchi isiyoogopa vita duniani.
Wamarekani wanafanya maamuzi yao kwa akili sana inapokuja kwenye vita.
Sababu kubwa nchi kubwa hazipigani ni kwa sababu 1. Hata ukishinda bado kutakua na uharibifu mkubwa kwako pia 2. Uchumi utashuka.
Hivi vitisho kati ya Russia na USA kwa sehemu kubwa ni siasa tu. Na hata Russia juu chini hawataki ugomvi na USA
Na siku zote Russia hua Hana Nia ya Vita na nchi yoyote,shida ni Marekani anataka kwa nguvu kujitanua kuelekea east kwa mgongo wa NATo Sasa Urusi sio wajinga was malengo na mipango yote ya Marekani, na ndii maana wanakua very aggressive.
Katika hali ya kawaida Urusi ni taifa lisilotaka ugomvi na jirani zake,chokochoko ziaanzishwa na Marekani tu.
Mfano nitajie ni nchi gani Europe zinaihitaji Ukraine ijiunge na NATO?