Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Vikwazo vya aina hiyo ulaya nayo itaumiaMarekani ndio mchangiaji mkubwa wa bajeti NATO... isitoshe ana miliki jeshi kubwa zaidi na silaha nyingi za kisasa kuliko mwanachama yeyote wa NATO.
Mkataba wa NATO unahimiza ushirikiano wa pamoja katika kuikabili Urusi hivyo si takwa la Marekani pekee........
isitoshe njia pekee ya kuiadhibu Urusi ni vikwazo vikali vya kiuchumi vitakavyolenga sekta zake muhimu hasa gesi, mafuta na sekta ya fedha (mabenki, biashara, mitaji,mikopo).