Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Singapore atukusikia embu tujulishe mdau wetu
 
Putin kagoma kuvamia Ukraine?.

Urusi inatia presha Ukraine isijiunge na NATO na sio kwamba anavamia tu kama Mmasai anavyovamia mashamba ya wakulima.

Ngoja tuone ni nini kitatokea endepo Ukraine itajiunga na NATO.
Umenichekesha apa kwamba sio wanavamaia mashamba ya wakulima kule mvomero
 
Singapore atukusikia embu tujulishe mdau wetu
Singapore ilijenga natural man island pale, kwa ajili ya makazi na mahoteli. Mchina kakinunua hicho kisiwa chilote, siyo serikali bali raia wa china ndiyo walionunua karibu nyumba zote pale kisiwani. Ikaonekana kama vile ni china town in singapore maana sasa kola kitu pale kikawa china china. Wazawa wa singapore hawakuwa na uwezo wa kuafford kununua makazi mle. Mwisho ilibidi serikali ibandon hiyo project ya hicho kisiwa.
Huko Asia Mchina anawavuruga sana maana ana mapesa anayamwaga mwaga tu kila anakojisikia.
Personally mchina namuona ni worse sana kuliko wazungu japo wote wanyonyaji ila mchina ni mnyonyaji zaidi ya kupe. Sema it seems now ni unstoppable.
 
Russia ana uwezo wa kufanya lolote na akatimiza!

Ni taifa lenye nguvu kijeshi na silaha zenye ufanisi kuliko lolote duniani.
Sio kweli haya. Marekani mwenye technology ya kila kitu atingishwe na urusi
 
✓[emoji2400]Alafu na ile ishu ya Nord String 2 ya Germany. Kuna watu mna madini umu hatari sana
 
Wadau kumbuka unapomsema USA ni kusema Israeli ,urusi alishaambiwa akijaribu kuivamia ukraine atapata madhara makubwa sana na kujutia, kashaambiwa diplomasia itumike kumaliza mgogoro huo ,yaani Israeli+uingereza+german+ufaransa+US A kiukweli amesisitiziwa ajaribu aone na wao wametega kujiona wapole ila wadau USA na washirika wake wameshajiandaa anasubiri tyu avamie,MUNGU mwenyewe hawezi ruhusu hii sayari ije kuongozwa na madikteta china na urusi,kushindwa kwa marekani na israeli ni kuifanya dunia iongozwe na madikteta urusi na china ,pata picha hii sayari ya dunia itakuaje,dunia lazima iongozwe kwa njia ya kidemokrasia sio kidikteta ili kila mtu afanye anachotaka pasipo kuingilia uhuru wa mtu.
 
Sio kweli haya. Marekani mwenye technology ya kila kitu atingishwe na urusi
Unaichuliaje Russia mkuu?
Tambua kwamba ni Russia pekee anayeweza kushambulia target iliyopo popote duniani kwa kutumia Intercontinental Ballistic Missiles ( ICBMs).

Ana nuclear power kuliko taifa lolote duniani ana vifaru imara na vingi kuliko taifa lolote.
 
[emoji2398] Ni wanyonyaji kweli kweli kabisa
 
Hujui mkuu, China kawekeza popote duniani mpka Marekani wanatumia bidhaa zake.
Nafahamu kuliko unavyofahamu.
Shida ya mchina anachanganya bidhaa hafifu na bora, angekuwa na std moja angetoboa.
Lakini kwa mseto huu kibiashara ni kifo.
 
Mrussi mpk sas ameweka wanajeshi laki Moja mpka wa uraine na urusi pmj na vifaru vizito za kijeahi kana kwamba muda wowte atamvamia .naona Vita vikubwaa vinaenda kuibuka na ss watu wabadi tutateseka Sana Africa mnk tuko tuko tu ilimradi
Mkuu pale hakuna vita vya silaha bali kuna vita vya kisaikologia!
 
Nafahamu kuliko unavyofahamu.
Shida ya mchina anachanganya bidhaa hafifu na bora, angekuwa na std moja angetoboa.
Lakini kwa mseto huu kibiashara ni kifo.
Wee kiazi kweli dunia saivi unapata bidhaa yoyote sema ubora ndyo tofautii na yote ni katika kuliweka soko katika makundi mchina angefata jinsi biashara za ulaya na marekani zinavyokwenda kwenye uzalishaji asingekuwa apa alipo Africa na nchi nyingi za Asia zimepata inafuu WA bidhaa baada ya mchina kufanya uzalishaji wenye tija Kwa kila ngazi ya kiuchumi kama umeanza kutumia simu miaka ya 1999 Hadi 2000 naisi wajua gharama za simu, nguo viatu zilivyokuwa na sasa Hali ikoje
 
Asante kiazi mwenzangu
 
Unafuu usio na ubora ni ghali zaidi mtumishi
 
✓[emoji2400]Alafu na ile ishu ya Nord String 2 ya Germany. Kuna watu mna madini umu hatari sana
Mkuu hii sijaijua ila serikali ya Ujerumani imeanza kuogopa kuhusu China kutumia pesa kwa kigezo cha uwekezaji kupitia makampuni ya kuchina na kuwekeza kwenye makampuni ya kijerumani.
Mfano, kampuni ya robotics ya Kuka ilinunuliwa na kampuni ya kichina mwaka 2016. Hii ni kampuni ambayo ina technolojia ya hali ya juu ya industrial robotics. Hofu ni kwamba baadae teknoloji wataihamishia China.
Pia kuna kampuni ya china ilikuwa inataka kununua 20% ya Grid operstor 50Hertz kabla ya serikali ya germany kuingilia kati.
Na hili mchina analifanya kila mahali huko ulaya ananunua makampuni au kuwekeza kwenye makampuni yenye teknoloji kubwa kisha anatransfer that technology to china.
Wajerumani wanadai muda mwingine ukiwapelekea specification wazalishe bidhaa huko china baada ya miaka kadhaa nao wanakuja na bidhaa yenye specificatiin kama zako tena wanazileta germany kushindana na wewe. 🤣🤣
 
Sasa mbona unarudi kulekule.... siku china ikiwa na kauli USA and Europe ni ndani ya dakika tu mwenye dunia yake anashuka kuchukua wateule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…