Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

China apewe tu heshima yake kwa anayoyafanya, bado ataendelea kutesa na sio mbele ya Marekani bali duniani kote
 
Nakazia Hofu ya Mmarekani na dunia nzima ni China.
 
Naomba ufafanuzi wa Wachumi kuhusu hizi takwimu nilinganishe na ninachofikiria
 
Ukitaka.kujua maana ya hiyo "lakini" basi Urusi iende kumega kipande cha ardhi huko Alaska kama jinsi ilivyoimega Crimea, hapo ndipo utajua America anaweza au hawezi.
unakutupuka RUSSIA anafanya jambo kwamaslahi yake sasa akaimege ALASKA wakati haina maslahi nae
naukitaka kujua US hawezi nae mwambie akamege kipande chochote kwenye ardhi ya RUSSIA uone kitakachomkutia
 
Bado sana..sio leo au kesho marekani kupotea kwenye ramani ya dunia..nitaendelea kuamini hivi milele.

Sijaona nchi ya kuiondoa marekani...myb dunia nzima iungane kupigana vita na marekani.

#MaendeleoHayanaChama
sio leo walakesho ila itaondoka nisuala lamuda tu
 
Unachotakiwa kujua ni kitu kimoja Tu....china aliupita uchumi WA japani baadaya kupata tsunami maana theruthi moja ya japani iliathirika vibaya lakini wajapani walikuwa ni WA pili Kwa uchumi duniani ni vile ni visiwa Tu he kama ingekuwa Bala kama china ?? Ndio ungejua ujui.....kama sio tsunami china asingeweza kupita uchumi WA japani na wachina washukuru mungu lile tsunami.....
 
Kwa komenti hi ndio umeniunga mkono kabisaaaa kwamba Israel,USA,Ukraine,German na France wanamsubiri Urusi ajaribu kuivamia Ukraine.aisee kumbe Urusi ni jeshi la nchi moja dhidi ya mataifa tajiri zaidi duniani.
Hata urusi anatafuta ushirika na Iran,Belarus,China nk. Vita isikieni tu,,hakuna anayetamani vita.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
kila kitu kinatokea kwasababu kijana hata US bila world war two kutokea asingekuepo hapa alipo
mnaongea nn nyie vijana [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hata urusi anatafuta ushirika na Iran,Belarus,China nk. Vita isikieni tu,,hakuna anayetamani vita.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
anaetamani vita ni US nawashenzi wenzie ndio maana wakapiga VIETNAM wakapiga SOMALIA wakapiga SUDAN wakapiga IRAQ wakapiga AFGHANISTAN wakpiga IRAQ wakapiga na wanapiga SYRIA nakwengineko
nandio hao wanaoendeleza mgogoro SUDAN na MALI [emoji35][emoji35][emoji35]
 
We jamaa umebwabwaja tu, China kwa America bado Sana, yaani ndo unasema China anaanza kutengeneza ndege miaka hii, kwanza China alitengeneza vindege vya propeller Xiang,, vimekosa soko kwa Africa wanavyo warundi tu, kwenye Mambo ya Space US Yuko far away Sana, kijeshi ATA nsiposema,
 
Uchumi wa Japan umeànza kuwa stagnant toka mwaka 1994, na wala siyo Tsunami iliofanya mchina ampite Japan. Ni masuala ya kiuchumi ambayo naona uvivu wa kuanza kuyaandika hapa. And that is according to vyanzo vya kuaminika vinavyochambua uchumi wa mataifa.
 
We jamaa unajua unabishana ujinga, kwanza ngoja nikutaarifu kuwa space station anayoitumia mmarekani, ni ya Mrusi aliipandisha pale toka enzi ya Soviet Union, akaja kuliendeleeza mwaka 98. kwa hiyo Ulaya na Marekani baadae waliingia makubaliano ya kushirikiana kwenye space station. Kwahiyo kila mshirika pale kaunga capsules zake.
Mchina peke yake ndiye ametengeneza ya kwake. Kama hukujua basi nimekujulisha.
Pili, Mmarekani engine za rocket zake zilikuwa so inferior kwa engine za rocket za Mrusi, na zimesababisha vifo vingi compared na engine za rocket ya Mrussi.
Pia kutokana na running costs na ubovu wa engine ndiyo maana akaground space shuttle program. Akaanza kutegemea Wahindi, nchi za Ulaya na Urusi kupeleka vitu kama satelite na mahitaji ya space station mpaka alipokuja bwana Elon na Space X program yake kuokoa jahazi.
Sasa turudi kwa mchina, mchina katoka huko alikotoka kashusha chombo mwenzi ambacho kimeenda mbali kuliko chombo chochote kilipowahi kufika pale mwezini, mchina kashusha chombo pale Mars kama one man show. Na nikutaarifu kuwa agency ya mambo ya anga ya Ulaya, kwasasa inatumia chombo cha jina ambacho kimebaki juu kikiizunguka Mars kufanya mawasiliano na chombo chao kilicho kwenye ardhi ya Mars.
Kuhusu ndege, mchona anatengeneza ndege usidhani ndege za abiria unatengeneza nakuingiza tu sokoni kama baiskeli. Mbona Brazil, Canada, Urusi wanatengeneza ndege au wadhani wanaotengeneza ndege ni US tu?
Ndege za kivita mchina ameachia generation mpya ya ndege za kivita nimekwishakwambia hapo juu.
Yani hakuna kitu ambacho hatengenezi. My point is, mtu ambaye alikuwa huko mwisho mwisho, ndani ya miaka michache ameruka mpaka amekuja kupambana na mtu ambaye yuko 1, hakawii huyo wa 1 kumuangusha
 
unakutupuka RUSSIA anafanya jambo kwamaslahi yake sasa akaimege ALASKA wakati haina maslahi nae
naukitaka kujua US hawezi nae mwambie akamege kipande chochote kwenye ardhi ya RUSSIA uone kitakachomkutia


Wewe hujui historia, Alaska ilikuwa ni mali ya Russia hapo zamani na Russia ikaiuzia America kwa bei ya kitupa, hivi leo imegundulika huko Alaska kuna reserve kubwa sana ya mafuta, sasa Russia aanzishe chokochoko ya ku- re bagain ili aongezewe hela kulingana na thamani ya eneo hilo hivi sasa, aanzie hapo.
 
wewe unajua historia ila unakurupuka kwenye hoja zako sasa ushasema kama Alaska iliuzwa kwamba sasa rebagain hapo inahitajia nguvu au makubaliano CRIMEA iliuzwa lini na UKRAINE kuelekea RUSSIA yaani UKRAINE inaihitaji zaidi CRMEA kutoka RUSSIA sababu ilivamiwa kuliko RUSSIA inavyoihitajia ALASKA sababu wao waliiuza
unapoints sana ila unakurupuka kuuza ALASKA bwana RUSSIA wala hawakulazimishwa inasemekana hali ya KIUCHUMI ndio ilipelekea wakaiuza sasa CRIMEA iliuzwa nanani"
 
Nato ni familia ya Marekani., Marekani ndio anawalea na kuwapa huduma za chakula na kila kitu kwanini watoto wasiitike wito wa baba yao?
 
Nato ni familia ya Marekani., Marekani ndio anawalea na kuwapa huduma za chakula na kila kitu kwanini watoto wasiitike wito wa baba yao?
NATO ni US na US ndo NATO yenyewe. Bila NATO Urusi ingezimeza nchi zote za ulaya mashariki. Urusi bado inaamini kuwa ni mjimbo yake yaliyojitenga!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
✓Mimi nimefurahi apo ulippsema ni mkatoliki aliyesahau mlango wa kanisa ulipo
 
Anahaha Mchina kamkalia kooni uchumi wake sasa hivi unapaa. Ndani ya miaka kadhaa ijayo mchina atakuwa anaunda kila kitu.
Sasa hivi anabweka tu kwasababu vinchi vinabshana nae
[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…