Huwezi badili tabia ya mwanamke hata ufanye nini

Na isikute wakati anajidai karudi kwako walikua wanakuchora tuu...then wanakutumia, wanawake wapuuzi sana huitaji kufall kabisaa brother
 
Kungulu ambaye hafugiki hata ufanyeje bado ataondoka tu kwenda kuishi pekeyake au na wenzake.

Si kila Ke ni Mke wa kujenga naye maisha.
 
Pole sana ndo ukubwa huo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Vijana wanaendekeza mapenz kuliko maisha... Kijana mdogo unataka kuoa hiv una akil.. unaish kwa kutegemea wazaz unakuaje na akil za kuoa. Si ajabu huyo dada anakuona hamnazo had kinyoz anakuchkulia demu kijana wa chuo kikuu.. dah.. what a fall down.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza nadhani hujamwelewa...
Anasema walianza akiwa mwanafunzi.
Na kwasasa ana kibarua chake si mwanafunzi.

Kwahiyo mapenzi yao yapo tokea akiwa mwanafunzi na sio mwanafunzi Tena.

#YNWA
 
Kuna mitihani mingi kwa mwanaume lakini mwanaume kuzaa na Mwanamke malaya asiejitambua bhasi huwa ni zaidi ya Mateso...!! Pole lakini pia Kua kiakili usiruhusu Mapenzi yaendeshe ubongo wako kwa kufata Moyo wako.. Tumia akili haiwezekana mwanamke akalale na mwanaume mwingine alafu aje kwako tena upuu,u wa hali ya juu
 
Kweli kama ulivyoandika ulipungukiwa akili ukidhani utambadilisha

Mwanamke akishakuwa msaliti there is no way utamfanya atulie awe wako peke yako

Mtoto ana umri gani?
hivi!! Ni kweli dada?? basi mie ntaoa muzee... Kwani wewe tyri umeolewa? Nina jambo langu....samahani lkn.
 
rikiboyi uzi unarindima kuree kaukamate..
 
Kunguru hafugiki
zamani..siku hizi wanafugika....ke ni bidhaa ndogo sana...ataishi kwangu atakula kwangu..atapigwa miti vizuri tu huko mpaka atosheke. Walaa mie sina shida ilimradi nina mapene ya kutosha. Napiga misele yangu...ntamfanya house keeper tu. Na wala simletei dem mwingine ila nafanyia mbali huko...hata jua.ila mie kufanyana nae mwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…