Huwezi badili tabia ya mwanamke hata ufanye nini

Ha haaa...
Mambo yao (Kinyozi na Binti) waachie wenyewe..

Sema nini mkuu huyo binti atarudi kwako tena and guess what mtaendelea na penzi
Dahh kweli kuna wanaume hawana kinyaaa,anagongwa na wewe unagonga na unajua.unateleza tu kwenye utelezi wa mwenzio na deki inapigwa hiii,mimi hiyo hamuna.

Kijana wa chuo zion.
 
Sa
Sasa mkuu mengine hayahitaji hata kushauriwa na wadau hapa. Umejua kabsa kuwa mamake na binti ana watoto saba kila mtoto babake sasa ulishindwa kujua hapo kuwa hapafai kuweka mipango..? Ukitaka kuoa muoe mama mkwe kwa maana ukitaka kuoa binti muangalie mama yake kwanza kuwa ana haiba gani.
 
Mama yangu aliwah kuniambia kabla hujaoa bint jaribu kuchunguza tabia ya mama yake

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana wewe ni domo zege ndio maana inateseka hivi, hiki ulichoeleza no upuuzi.
 
Daaah Wale ni kubuluza tu unapita hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…