Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Wasalam...
Mda huu nimetoka ota ndoto ya ajabu sana.. ila nasemaje
Kama kijana ambaye unategemea kuja kujikwamua katika cheni ya umasikini jua
Umasikini ulionao sasa hvi unasababishwa na mfumo wa sehemu husika. Hvo kupambana kwako na umaskini ni kupambana na mfumo..
Hivo kuna mawili either ushinde au ushindwe. Na ukishinda mwendo ni ule ule utajuta even ukishindwa ni vile vile utajuta...
Anayefurahia maisha ni yule ambaye tayari.yupo kwa mfumo kama huna hiyo bahati sahau kuhusu kutoboa..
Hata kama utatoboa ni kwa mbinde sana sana sana..
Sasa hivi kuanzisha biashara imekua ni too complicated sio kama unavyozania...
Ukiona huna ugumu katika biashara yako zidi ya mfumo basi jua wewe kuna mawili either una toa rushwa au unacheza haufanyi biashara hapo...
But trust me kupambana na umaskini kwa sasa ni kupambana na system...
Kwa uzamini wa
Nomadix
Kulaumu huchukua muda mrefu kufix tatizo, mafanikio ni hatua kufika inabidi uanze hata kama ni kidogo anza, haina kusita kufika inabidi ukaze haswa. Mfumo hauna huruma na wewe hasa kama uko 20s - 40s.
Umasikini ni janga baya sana, ukiwa masikini utadharaulika sana kuanzia kwa wazazi,ndugu, jamaa, marafiki, mkewako, watoto hata nzi utakuwa unaifukuza inarudi inadhani mnacheza!
Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo pambana na system, usitake kuwa tajiri tafuta kupata mafanikio, na mafanikio hayaji ukikata tamaa. Ajabu ni kuwa mafanikio yenyewe huwafata wanaojituma na wale wasio sukumwa na njaa!
Wasalam