Huwezi elewa hata kidogo kama hujaingizwa kwenye mfumo wa hawa jamaa

Kwenye kukosana na mungu ni hivi muuza nyama Buchani akimaliza kuchinja , mnyama analowekwa pale anajaa maji hivo wanunuzi WA asubuhi kilo moja unachukua robo tatu nyama na robo ni maji kama huamini pima kilo moja asubuhi Buchani iacge masaa 3 rudia tena kupima uone maajabu
Sema we jamaa bana 🙌🙌🙌😂😂😂😂
Kwahyo buchani inabidi twende mchana sio
 
Kuna mambo yanaendelea chini chini ambayo zamani nilikua naona kama story tuu ila nimejionea sasa...

Nakumbuka pale high school walikua wanashawishi sana tuwe na kadi za mfumo ila kuna sisi tukawa tunagoma ila sasa naona umuhimu wake.

Watu wanaogopa kusema hali ya huku chini wakihofia haya mambo yanayoendelea kwa mfumo..

Nasema hivi kutokana na nayopitia naona kabisa mfumo haupo favour kwa vijana wapambanaji...

Sio boda boda sio nani. Wote hali mbaya ukiona mtu anasema yeye anafaidi jua chawa huyo...
 
Mfumo wa kifala sana. Imagine mtu anaitwa "masikini wa kutupwa" yaani umekua masikini kiasi kwamba hufai tena inabidi utupwe jalalani!

Inahitajika nguvu ya ziada kupambana na system kuutokomeza umasikini wako.

Una kipaji kitumie, una kamzizi tumia, una nguvu na akili itumie, una ujanja utumie, una imani sana itumie, una elimu itumie, haijalishi ulicho nacho ni kiasi gani, unakitumia ipasavyo kupambana na system.

Kulaumu huchukua muda mrefu kufix tatizo, mafanikio ni hatua kufika inabidi uanze hata kama ni kidogo anza, haina kusita kufika inabidi ukaze haswa. Mfumo hauna huruma na wewe hasa kama uko 20s - 40s.

Umasikini ni janga baya sana, ukiwa masikini utadharaulika sana kuanzia kwa wazazi,ndugu, jamaa, marafiki, mkewako, watoto hata nzi utakuwa unaifukuza inarudi inadhani mnacheza!

Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo pambana na system, usitake kuwa tajiri tafuta kupata mafanikio, na mafanikio hayaji ukikata tamaa. Ajabu ni kuwa mafanikio yenyewe huwafata wanaojituma na wale wasio sukumwa na njaa!
 
Kwenye vita usichague silaha iliyopo itumie uchumi ni vita kinyume chale tusingeheshimiana
 
1747309929007.jpg
 
Wasalam...
Mda huu nimetoka ota ndoto ya ajabu sana.. ila nasemaje

Kama kijana ambaye unategemea kuja kujikwamua katika cheni ya umasikini jua
Umasikini ulionao sasa hvi unasababishwa na mfumo wa sehemu husika. Hvo kupambana kwako na umaskini ni kupambana na mfumo..

Hivo kuna mawili either ushinde au ushindwe. Na ukishinda mwendo ni ule ule utajuta even ukishindwa ni vile vile utajuta...

Anayefurahia maisha ni yule ambaye tayari.yupo kwa mfumo kama huna hiyo bahati sahau kuhusu kutoboa..

Hata kama utatoboa ni kwa mbinde sana sana sana..
Sasa hivi kuanzisha biashara imekua ni too complicated sio kama unavyozania...

Ukiona huna ugumu katika biashara yako zidi ya mfumo basi jua wewe kuna mawili either una toa rushwa au unacheza haufanyi biashara hapo...

But trust me kupambana na umaskini kwa sasa ni kupambana na system...
Kwa uzamini wa
Nomadix

Kulaumu huchukua muda mrefu kufix tatizo, mafanikio ni hatua kufika inabidi uanze hata kama ni kidogo anza, haina kusita kufika inabidi ukaze haswa. Mfumo hauna huruma na wewe hasa kama uko 20s - 40s.

Umasikini ni janga baya sana, ukiwa masikini utadharaulika sana kuanzia kwa wazazi,ndugu, jamaa, marafiki, mkewako, watoto hata nzi utakuwa unaifukuza inarudi inadhani mnacheza!

Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo pambana na system, usitake kuwa tajiri tafuta kupata mafanikio, na mafanikio hayaji ukikata tamaa. Ajabu ni kuwa mafanikio yenyewe huwafata wanaojituma na wale wasio sukumwa na njaa!

Wasalam​
Kutoboa ulisema ni rahisi sana.

YAKUZ YAVUZ. kusema hivyo tu unapata unachokitaka
 
Kwanza don't get complacent.

Unaweza kuwa unaona watu wanateseka Ila wao wakawa hawaoni hiyo 'Ari '

Ukikaa uswahilini MTU anathamini shughuli na takakataka nyingine ambazo ni useless stuffs kuliko mambo ya msingi .

MTU ambaye ana victim mentality hata umpe nini hawezi kupiga hatua.

Kwahiyo mfumo ambao upo Katika
Hayo maeneo unaitwa Ecosystem Samaki mkubwa anamla samaki mdogo.

And they are very comfortable with their situation so you have nothing to do about that .

Unabidi kwenda kinyume nyume au kubadilisha Corners (mitaaa)
 
Back
Top Bottom