Unabidi kwenda kinyume nyume au kubadilisha Corners (mitaaa)Kwanza don't get complacent.
Unaweza kuwa unaona watu wanateseka Ila wao wakawa hawaoni hiyo 'Ari '
Ukikaa uswahilini MTU anathamini shughuli na takakataka nyingine ambazo ni useless stuffs kuliko mambo ya msingi .
MTU ambaye ana victim mentality hata umpe nini hawezi kupiga hatua.
Kwahiyo mfumo ambao upo Katika
Hayo maeneo unaitwa Ecosystem Samaki mkubwa anamla samaki mdogo.
And they are very comfortable with their situation so you have nothing to do about that .
Unabidi kwenda kinyume nyume au kubadilisha Corners (mitaaa)
Kwanza mi sio mwanao..Nachoshukuru hujamtaja dory, wala mwalimu, wala mshangazi
Mwanangu achana na wanawake
Unabidi kwenda kinyume nyume au kubadilisha Corners (mitaaa)
😂😂😂😂😂😂 Kua makini dactari...
Sema nipe darasa tena upya maana wewe ndo kioo changu humu
Daaah unani dispose humu juzi nimepigiwa simu kupewa Muongozo hebu niache Kijana 🤣Mkuu kwa sasa nishajua unapatikana wapi.. sasa nakula deal.la kuja kukukamata..
Na namba zako zote ninazo adi zile za marekani
SonKwanza mi sio mwanao..
Kuhusu kuachana na wanawake alhamdullilah mimi nipo vzr mkuu kwa sasa nipo oky japo kuna huyu mke wa mtu ni very stubborn
Uko sahihi mkuuIli upate mafanikio makubwa duniani ni either umkosee mungu au ukosane na serikali , tofauti na hapo utaishia kupata hela ya Kula Tu na kubreack chain ya umaskini itakua ngumu
Kama ulifanya interview lazima utalijua hili.Fafanua mkuu
Fid Q ft Baraka Da PrinceWasalam...
Mda huu nimetoka ota ndoto ya ajabu sana.. ila nasemaje
Kama kijana ambaye unategemea kuja kujikwamua katika cheni ya umasikini jua
Umasikini ulionao sasa hvi unasababishwa na mfumo wa sehemu husika. Hvo kupambana kwako na umaskini ni kupambana na mfumo..
Hivo kuna mawili either ushinde au ushindwe. Na ukishinda mwendo ni ule ule utajuta even ukishindwa ni vile vile utajuta...
Anayefurahia maisha ni yule ambaye tayari.yupo kwa mfumo kama huna hiyo bahati sahau kuhusu kutoboa..
Hata kama utatoboa ni kwa mbinde sana sana sana..
Sasa hivi kuanzisha biashara imekua ni too complicated sio kama unavyozania...
Ukiona huna ugumu katika biashara yako zidi ya mfumo basi jua wewe kuna mawili either una toa rushwa au unacheza haufanyi biashara hapo...
But trust me kupambana na umaskini kwa sasa ni kupambana na system...
Kwa uzamini wa
Nomadix
Kulaumu huchukua muda mrefu kufix tatizo, mafanikio ni hatua kufika inabidi uanze hata kama ni kidogo anza, haina kusita kufika inabidi ukaze haswa. Mfumo hauna huruma na wewe hasa kama uko 20s - 40s.
Umasikini ni janga baya sana, ukiwa masikini utadharaulika sana kuanzia kwa wazazi,ndugu, jamaa, marafiki, mkewako, watoto hata nzi utakuwa unaifukuza inarudi inadhani mnacheza!
Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo pambana na system, usitake kuwa tajiri tafuta kupata mafanikio, na mafanikio hayaji ukikata tamaa. Ajabu ni kuwa mafanikio yenyewe huwafata wanaojituma na wale wasio sukumwa na njaa!
Wasalam
Huuoni uhalisia Hali ilivyo?Fafanua mkuu
Ahahahahahaha..kaka ,katika vitu sipend kwenye maisha yangu toka nimemaliza elimu ni interviewKama ulifanya interview lazima utalijua hili.
Mfano wa interview ni t.r.a na walimu.
Kila mtu apend sema ndo mfumo huo wa kupata ugali.Ahahahahahaha..kaka ,katika vitu sipend kwenye maisha yangu toka nimemaliza elimu ni interview
Bas mi nilishaugomea mfumoKila mtu apend sema ndo mfumo huo wa kupata ugali.
Duuuh dactar asante snaa kwa madini kama hayaMitaa wanayotoka masikini kuna ecosystem system Samaki mkubwa anamla mdogo .
Kwahiyo ili Ku-Survive unabidi wewe usiwe samaki mdogo au mkubwa Ila unabidi kuwa Mvuvi unawavua hao samakini wadogo na wakubwa.
Tofauti na hapo ngumu kutoka katika hiyo Cage.
Kwakuwa mambo ambayo yapo kukutoka kwenye njia ni mengi kuliko yakukuweka katika njia .
Ndo maana Msanii Menja kunta Mama yake amefariki kwa kudondoka na ndoo ya samaki kichwani usiku Ila mtoto kanunua Range rover.
So the systems is about to brag , the system is about to entertain instant gratification like , fashion ,drug ,weed ,sex , oldest women (Mishangazi)
So pona pona ni either kutafuta different corners or kwenda against na mifumo ya jamii husika na Ku-Embrace cleanest lifestyle
🙌🙌🙌Sifanyi ma deal kama hayo mkuu...Daaah unani dispose humu juzi nimepigiwa simu kupewa Muongozo hebu niache Kijana 🤣
Halafu lile dili la kufanya recording ndio umenitupa?
Bana bana ..
Yakuze Mavuzi yawe kama ya mgonjwa au ya chizi?YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ
Tutatukanana humu mkuuYakuze Mavuzi yawe kama ya mgonjwa au ya chizi?