Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
-
- #21
Kukosana na mungu au kukosana na serikali...Kukosana na Mungu maana yake umeenda kwa shetani, sasa shetani ataweza vp ku exist bila Mungu. So swala la kusema bora kukosana na Mungu ambaye kuna mawili either yupo au laa siyo valid
Huu ni wiziMfuko wa sukari au cement Ile kilo 50 unayoiona kwenye mfuko sio halisi pale lazima ukipima utakuta pungufu kilo 1.5 au mbili haipo ndio mipango mungu hapendi lakini pale Ile kilo moja ni Faida kwa mzalishaji
Sema we jamaa bana 🙌🙌🙌😂😂😂😂Kwenye kukosana na mungu ni hivi muuza nyama Buchani akimaliza kuchinja , mnyama analowekwa pale anajaa maji hivo wanunuzi WA asubuhi kilo moja unachukua robo tatu nyama na robo ni maji kama huamini pima kilo moja asubuhi Buchani iacge masaa 3 rudia tena kupima uone maajabu
Kina Ronaldo wao utajiri wao walimkosea Mungu pia au serekali!?Ili upate mafanikio makubwa duniani ni either umkosee mungu au ukosane na serikali , tofauti na hapo utaishia kupata hela ya Kula Tu na kubreack chain ya umaskini itakua ngumu
Duh hii nilikua sijui
Watu mnawaza mbali sanaWeka utaratibu wa kununua nyama jioni. Hapo inakuwa imetundikwa muda mrefu imetoa maji na damu yote. Ukipima kilo bhas inakuwa kilo kweli.
Kwenye vita usichague silaha iliyopo itumie uchumi ni vita kinyume chale tusingeheshimianaMfumo wa kifala sana. Imagine mtu anaitwa "masikini wa kutupwa" yaani umekua masikini kiasi kwamba hufai tena inabidi utupwe jalalani!
Inahitajika nguvu ya ziada kupambana na system kuutokomeza umasikini wako.
Una kipaji kitumie, una kamzizi tumia, una nguvu na akili itumie, una ujanja utumie, una imani sana itumie, una elimu itumie, haijalishi ulicho nacho ni kiasi gani, unakitumia ipasavyo kupambana na system.
Kulaumu huchukua muda mrefu kufix tatizo, mafanikio ni hatua kufika inabidi uanze hata kama ni kidogo anza, haina kusita kufika inabidi ukaze haswa. Mfumo hauna huruma na wewe hasa kama uko 20s - 40s.
Umasikini ni janga baya sana, ukiwa masikini utadharaulika sana kuanzia kwa wazazi,ndugu, jamaa, marafiki, mkewako, watoto hata nzi utakuwa unaifukuza inarudi inadhani mnacheza!
Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo pambana na system, usitake kuwa tajiri tafuta kupata mafanikio, na mafanikio hayaji ukikata tamaa. Ajabu ni kuwa mafanikio yenyewe huwafata wanaojituma na wale wasio sukumwa na njaa!
Yaani kabisa bado una doubt na uwepo wa MUNGU?Na bora ukosane na serikali..
Japo kukosana na serikali ni worse zaidi maana utapata mateso physical sio sawa na kukosana na Mungu ambaye bado kuna mawili either yupo au laa..
Kutoboa ulisema ni rahisi sana.Wasalam...
Mda huu nimetoka ota ndoto ya ajabu sana.. ila nasemaje
Kama kijana ambaye unategemea kuja kujikwamua katika cheni ya umasikini jua
Umasikini ulionao sasa hvi unasababishwa na mfumo wa sehemu husika. Hvo kupambana kwako na umaskini ni kupambana na mfumo..
Hivo kuna mawili either ushinde au ushindwe. Na ukishinda mwendo ni ule ule utajuta even ukishindwa ni vile vile utajuta...
Anayefurahia maisha ni yule ambaye tayari.yupo kwa mfumo kama huna hiyo bahati sahau kuhusu kutoboa..
Hata kama utatoboa ni kwa mbinde sana sana sana..
Sasa hivi kuanzisha biashara imekua ni too complicated sio kama unavyozania...
Ukiona huna ugumu katika biashara yako zidi ya mfumo basi jua wewe kuna mawili either una toa rushwa au unacheza haufanyi biashara hapo...
But trust me kupambana na umaskini kwa sasa ni kupambana na system...
Kwa uzamini wa
Nomadix
Kulaumu huchukua muda mrefu kufix tatizo, mafanikio ni hatua kufika inabidi uanze hata kama ni kidogo anza, haina kusita kufika inabidi ukaze haswa. Mfumo hauna huruma na wewe hasa kama uko 20s - 40s.
Umasikini ni janga baya sana, ukiwa masikini utadharaulika sana kuanzia kwa wazazi,ndugu, jamaa, marafiki, mkewako, watoto hata nzi utakuwa unaifukuza inarudi inadhani mnacheza!
Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo pambana na system, usitake kuwa tajiri tafuta kupata mafanikio, na mafanikio hayaji ukikata tamaa. Ajabu ni kuwa mafanikio yenyewe huwafata wanaojituma na wale wasio sukumwa na njaa!
Wasalam
YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZKwahiyo unatushauri nini masikini wenzio
Kisha tuje whatsapp kwenye group la kuwa tajiriYAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ YAVUZ
Mkuu kwa sasa nishajua unapatikana wapi.. sasa nakula deal.la kuja kukukamata..Kutoboa ulisema ni rahisi sana.
YAKUZ YAVUZ. kusema hivyo tu unapata unachokitaka
Ahahahha jana niliota ndoto mbaya kinoma aiseee daaaah acha tuuKisha tuje whatsapp kwenye group la kuwa tajiri