Huwezi elewa hata kidogo kama hujaingizwa kwenye mfumo wa hawa jamaa

Unabidi kwenda kinyume nyume au kubadilisha Corners (mitaaa)

😂😂😂😂😂😂 Kua makini dactari...

Sema nipe darasa tena upya maana wewe ndo kioo changu humu
 
Unabidi kwenda kinyume nyume au kubadilisha Corners (mitaaa)

😂😂😂😂😂😂 Kua makini dactari...

Sema nipe darasa tena upya maana wewe ndo kioo changu humu


Mitaa wanayotoka masikini kuna ecosystem system Samaki mkubwa anamla mdogo .

Kwahiyo ili Ku-Survive unabidi wewe usiwe samaki mdogo au mkubwa Ila unabidi kuwa Mvuvi unawavua hao samakini wadogo na wakubwa.

Tofauti na hapo ngumu kutoka katika hiyo Cage.

Kwakuwa mambo ambayo yapo kukutoka kwenye njia ni mengi kuliko yakukuweka katika njia .


Ndo maana Msanii Menja kunta Mama yake amefariki kwa kudondoka na ndoo ya samaki kichwani usiku Ila mtoto kanunua Range rover.

So the systems is about to brag , the system is about to entertain instant gratification like , fashion ,drug ,weed ,sex , oldest women (Mishangazi)

So pona pona ni either kutafuta different corners or kwenda against na mifumo ya jamii husika na Ku-Embrace cleanest lifestyle
 
50 cent alisema

Get rich or die trying

Kuzeeka masikini ni uzembe unashindwaje kumtoa sadaka hata mwanafamilia mmoja alee wenzie?

Tafuta gun jilipue vamia maeneo, uza sembe, ukiona haina noma kaangalie TV na pdidy.

Uteseke Dunia na uko mbinguni ukachomwe moto Tena!! Utakua haupo serious, chagua sehemu moja ya kuteseka either uwe kumi mbinguni au mfalme dunia uskubali double punishment never
 
Mkuu kwa sasa nishajua unapatikana wapi.. sasa nakula deal.la kuja kukukamata..
Na namba zako zote ninazo adi zile za marekani
Daaah unani dispose humu juzi nimepigiwa simu kupewa Muongozo hebu niache Kijana 🤣

Halafu lile dili la kufanya recording ndio umenitupa?
 
Ili upate mafanikio makubwa duniani ni either umkosee mungu au ukosane na serikali , tofauti na hapo utaishia kupata hela ya Kula Tu na kubreack chain ya umaskini itakua ngumu
Uko sahihi mkuu
 
Fid Q ft Baraka Da Prince
MAFANIKIO
 
Duuuh dactar asante snaa kwa madini kama haya
 
Daaah unani dispose humu juzi nimepigiwa simu kupewa Muongozo hebu niache Kijana 🤣

Halafu lile dili la kufanya recording ndio umenitupa?
🙌🙌🙌Sifanyi ma deal kama hayo mkuu...
Naskia hvi sasa hata uwe wapi lazima watakupata tuu..
Sasa mi staki habari za kubanana sehemu za siri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…