ABILITY_INK
Member
- Jul 26, 2022
- 13
- 35
Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
Akupige na kitu kizito maana kenge huwa hasikii hadi atokwe damu.Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
😂😂🤣🤣🤣Akukope pesa kwa majonzi na kubembeleza na kurudisha NI SHIDAAAAAAAAAA
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Aandaliwe chumba nambari 13 ili apumzike kwa amani.
Ongeza popcorn uzi utakuwa mrefu sanaMimi kwa sasa 🍿 naendelea kufuatilia uzi
😄😆😂🤣 wabongo wenyewe wamekimbia, nadhani wameona nitapata burudani ya vicheko bila kulipa chochote.Ongeza popcorn uzi utakuwa mrefu sana
Sema wewe story zako zinanifurahishaga sana ukiwa unatoa mpya uwe unanitag, niburudike mkuu😄😆😂🤣 wabongo wenyewe wamekimbia, nadhani wameona nitapata burudani ya vicheko bila kulipa chochote.
Aisifu CCM, Simba au YangaHuwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
Sawa kuna moja nitaanza kuisimulia hii jioni nitakushtua.Sema wewe story zako zinanifurahishaga sana ukiwa unatoa mpya uwe unanitag, niburudike mkuu
Mpaka awe chawa wa wauza bandariHuwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
Hayo ndo manenoSawa kuna moja nitaanza kuisimulia hii jioni nitakushtua.
Pamoja mkuu😝Sawa kuna moja nitaanza kuisimulia hii jioni nitakushtua.
Hii tumeichoka😁😁