Huwezi kuamini picha hii ya tatizo la umeme nchini...

Huwezi kuamini picha hii ya tatizo la umeme nchini...

nguzo zinaona hakuna umeme wa kupitisha zimeamua kucheza rede ha ha haaa! umenichekesha sana Mzee MM.
 
0008054bciz.gif

Wengine wataaamua kama tutafika!!

Ayi we mzee....tafsiri yake ni kuwa iddle....yaani hawana kazi vile kazi yao kusafirisha kitu ambacho kwa sasa ni adimu...ila ni mchezo wa kike asas sijui hizi pylons zina jinsia?
 
hahahaaa...ila jamani me nahisi awa mawaziri si wezetu watz!!
jk labda anakuja na jipya la umeme
 
Hahaha mimi nilidhani matatizo ya umeme yametokana na mabwawa yetu kugeuka madimbwi kumbe kuna matatizo makubwa zaidi daaah!hili sijui mtu una-solve vp, maana hizi nguzo zinaonekana zina tatizo la kisaikolojia zaidi
 
sujiu wanacheza ngoma gani hiyo..sio chadema kweli wanawacehza mdunndiko CCM?
 
We are finished! Development for us? Not really! Let's keep on dreaming.
 
MMk ngoja nitafute PowerPoint nikaifanyie Presentation pale bungeni fasta hio picha hapo kwa niaba yako

walioshika waya nadhani ni Pinda na Upande wa Pili ni Bunge na anayecheza ni Ngeleja...............duh

Mkuu ulijuaje? Maana ni kweli kabisa.
 
Unajua ukiingalia sana hii picha; kwanza huchoki. Pili inakufanya ujiulize maswali mengi kweli.

a. Ile nyumba pale pembeni ina umeme?
b. Je nikiwanda kidogo?
c. Huu muda wa nyaya kucheza wanautoa wapi?
d. Je yawekana kuna umeme wowote? Kama upo, kucheza kwao kunaathiri vipi upatikanaji wake?
e. Kwanini hizo nguzo kubwa mbili zimekubali kucheza na hako kanguzo kadogo?
f. Hilo li nguzo likubwa pembeni kwanini halikatazi hizo nguzo kufanya "mchezo"?
g. Je wakitoka hapo wanaweza kuwa wanaenda kucheza michezo mingine kama "tiari bado", "kombolela", "tule tumbakishie baba", "rede", "kioo kiooo" n.k?
 
Mkuu MKJJ,

Kwa hiyo Ngeleja na Malima wanamrukisha kamaba Jairo!!!

Na JK (mawaya yanayoguswa pemebeni) ni kama amelala tu!!! Ka nyumba ka pembeni ndo TZ, tunapasua vichwa tu kwenye maforum na magazetini!!!

tehe tehe tehe.....
 
jamani, nimecheka hadi mishipa ya kichwa inauma!! du mzee mwanakijiji, samahani naomba leo nikuulize swali dogo tu, hivi huwa unafikiria nini kichwani mwako? punguza tafakari zako mpendwa, inaonekana una uchungu sana na taifa letu!

hahahaaaa nchi yetu ina raha na karaha tele!! kidogo kidogo ka hasira juu ya wasanii waliomo kwenye siasa kanaanza kunipanda! lol!

Mungu aibariki TZ yetu jamani!
 
hii kali naomba iwe ni moja ya maajabu ya dunia no 02 from TZ baada ya ngorongoro
 
Back
Top Bottom