mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
LC 300 and alike is not for everyone.
Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.
Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risks.
Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.
Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.
, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru,Tunajiona tumefanikiwa kwaakili zetu ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.
Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.
Asilimia kubwa tuko hivyo.
Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.
Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.
Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.Walifuata miujiza sio kujiweka karibu na Mungu ili waione pepo.
Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kali na una nyumba yako ya kuishi????
My friend Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
Point of adfition,kumbe hata ulaya mabilionea huitwa freemason,ngoma droo and case closed