hakomana sekemesekeme
JF-Expert Member
- Oct 15, 2023
- 646
- 1,568
milioni 400 hela kiduchu sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Luca hana?Tutaelewaje wakati hatuna magari😂
CC ngapi hili?
Ni siri yao mkuu ,waafrica sisi ni wanafiki sana,asilimia kubwa tunajifanya tunamuamini Mungu ila tunapishana kwa waganga kila sikuUzuri nature ilivyo huwezi kuvuka pale unapoamini ndipo limit yako ilipo.
Wakati wewe ukizungumzia milion 400, kuna watu wanaswali kweli na wanamiliki gari hadi zenye thamani zaidi ya hapo.
Simama na Imani yako kikamilifu.Ungesoma na kulielewa neno la Mungu usingekuwa umeandikwa huu upumbafu
Sijui kwanini waafrika huwa hatuamini kuwa mtu anaweza kufanikiwa kwa juhudi. Iwe katika chochote tunasema wameroga. Iwe katika mpira, katika maendeleo katika chochote. Ulozi ungelipa bila shaka Afrika ingekuwa imeendelea zaidi ya west hata timu zetu za mpira zingefika mbali sana huko worldcup zikabeba kombe.Ni siri yao mkuu ,waafrica sisi ni wanafiki sana,asilimia kubwa tunajifanya tunamuamini Mungu ila tunapishana kwa waganga kila siku
I dont say kwamba hamna uchawi haupo but if unategemea uchawi kufika, hao waganga wenyewe wanaowapa wanaishi maisha ya ajabu, si matajiri. Wapo matajiri wa halali na wa uganga, wapo wanao rithi, sasa wewe utaamua pa kukaaYuko sahihi anachokisema.
Nimepita kwenye field ya madereva nimejionea sana how witchcraft is applied in their daily activities.
Mkuu, wanasema no research no right to speak...
Waafrica ndio tulivyo mkuu,Sijui kwanini waafrika huwa hatuamini kuwa mtu anaweza kufanikiwa kwa juhudi. Iwe katika chochote tunasema wameroga. Iwe katika mpira, katika maendeleo katika chochote. Ulozi ungelipa bila shaka Afrika ingekuwa imeendelea zaidi ya west hata timu zetu za mpira zingefika mbali sana huko worldcup zikabeba kombe.
Kuendesha tu unaenda kuroga!, Hutamani kumiliki?.LC 300 and alike is not for every one.
Sugua sana goti msikituni na makanisani,omba sana Mungu utaishia kwenye prado mchaga.
Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine,dunia ya maagano,lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha,hakuna mjinga atakubabidhi milioni 400 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risk,
Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori,hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana,mjinga nani ajukabidhi namilioni upige nayo misele.
Tanzania ukichukua fomu tu ugombee ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.
Ikulu ya magogoni kila siku ni ubani udi na madawa yanafukizwa tu,
Ukija kwa wamiliki the same,Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ameruwekea sisi waafrica,kuna level tukifika huwa tunamkufuru,ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana,wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini,washirikina wakubwa.
Waafrica ni wanafiki sana,bado hatujaacha dini zetu za asili,kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani,tukitoka hapo tunapishana kwa waganga
Asilimia kubwa tuko hivyo
Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni
Hata hao waendesha crown, nao ni walewale tuLC 300 and alike is not for every one.

Wewe umelisikia neno haujalielewa neno ndio mana unashangaa watu kushinda kanisani bado ni masikini kunavingi vya kumuomba Mungu kabla haujamuomba utajiri na utajiri kwa Mungu ni kuwa na akiba ya kufanya mwema hujui hayo maovu ya binadamu ndio sababu ya Mungu kupunguza umri wa watu kuishi duniani kingine utajiri wa Dunia hii ni nyongeza tu ni sawa na kwenda dukani kununua Mayai 9 ukaongezewa yai moja la nyongeza wewe lile moja ukaona lenye thamani kubwa kuliko yale tisa uliyokuwa nayoNimesoma kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo,na hapa nasikiliza injili ,
Fanya kazi acha Imani potofu...LC 300 and alike is not for every one.