Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Amenikumbusha familia moja hivi miaka ya nyuma kijana wao alipambana akanunua gari mbili za maana ndani ya mwaka mmoja na akajenga nyumba. Mwaka uliofuata dada katika familia hiyo akaugua, ile familia ikamuweka kikao yule kijana na kumwambia dada yako akifa utamla nyama mpaka ummalize.
haya mambo utayakuta bongo tu
 
Ukiwa na ng'ombe mia mbili wa maziwa unaweza kumnunulia mtu awe anachungia ng'ombe
Kuna dogo mmoja yuko tra alikuwa anaishi msela hana mke kaoa juzi tu lakini alikuwa na watoto wawili
Aliajiri beki tatu msela
Jeep Cherokee, v8 na prado viko ndani
Kazini anaenda na prado beki tatu anatumia v8 na jeep kupeleka madogo skuli na kwendea gengeni
Siyo kila aliyefanikiwa ni uchawi mafanikio ya kweli yapo na inapendeza sana
Huyo sasa si mwizi ndo maana
Hana tofauti na mchawi tu
Kuna watu sio wezi sio dhulma wala wachawi
 
Wachawi na waganga mbona maskini tu....Acha woga 400M kitu kidogo..watu wanavuta tu..mtu anayenunua gari ya 150M bila wasiwasi akijibana anavuta hata ya 500M..kila kitu kinawezekana...pesa ni makaratasi tu
Mabaharia wana kauli yao pesa makaratasi hasara roho tu hapo itatumbuliwa yote bila kubaki hata chenji..
 
Ningeongea kitu ila ngoja ninyamaze,sipromote ushirikins na nina ulaani maana kuna wajinga nikiwa ofisi fulani walikuwa wanapanda tu vyeo na mimi wamenikuta ofisini,nimewazidi elimu na experience,kumbe yanaroga hatari,mimi namtumainia Mungu siwezi kukwambia namiliki nini lakini nina amani na ninachokipata
Mungu anataka kwanza uone kama yeye anavyoona, yaani mindset yako iamini bila shaka kwa Imani dhabiti ( 100%) hata pale ambapo huna chochote Wala mtaji . Ukiamini lazima uwe tajiri mkubwa utakuwa tu , kwa maneno mengine barabarani hapahitaji dereva muoga muoga kuovertake ,ukiamua kuovertake ..overtake bila shaka .Kuna mambo ya kufanya: 1) kumwabudu kwa Imani.
2. Kuwa na utii kwake( kufuata Amri zake)
3. Mali au hela unazozipata zitumie katika mapenzi mema( toa 10% kwanza, saidia wahitaji)
4. Omba Toba/Msamaha kwake unapoona umemkosea.

Mambo ya kuachana nayo .
1. Tafuta hela Halali, sio eti unafanya maombi ufanikiwe kiuchumi, unatoa sadaka na Fungu la kumi. Lakini ni mpokeaji wa Rushwa, wizi na Kona Kona nyingi yaani unayafanya hayo ukiwaunajua fika kwamba ni makosa sio kwa bahati mbaya.
2. Epuka kutumia hela zako katika kufanyia uovu kama vile Uzinzi. Ebu chukulia wewe ni baba unampa mtoto Ada ya chuo then anatumia katika Uzinzi.
Tuombe mungu atujarie Neema ya kumwabudu, kutenda mema kwake na kwa jamii , utajiri ni ziada tu atatuongezea( Torati 28:1-14)
 
Listen mdogo Wang au mkubwa wangu

Uko sahihi lkn nataka uweke statement sawa iko Hivi

Kwenye. Maisha ya utafutaji Kuna level ili ufike lazma uwe mtu wa Dini Sana Yani San Yan unashiriki katika madhabau ipasavyo
Hapo utavuka viwango lakn Gari sio mafanikio hio L300 sizan ni gari la thaman Zaid ya Gwagon au Mercedes maybach new models People drive


Sasa Kama hutakuwa. Na mungu Basi Uwe kwa miungu Yani sio kwa waganga kwa mizimu yenu katoe kafara ipsavyo or Kama Umeamua pesa za waganga sawa


Me and My husband tumeokoka

Maisha Safi
 
Back
Top Bottom