Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kwa kumtumainia Mungu utafanikiwa tu huko wapo busy na waganga huku wakisukuma Passo yaani Passo na Ist nazo mpaka ukaroge daah..Ahaaa sina mkuu,mimi nimemrudia Mungu kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kumtumainia Mungu utafanikiwa tu huko wapo busy na waganga huku wakisukuma Passo yaani Passo na Ist nazo mpaka ukaroge daah..Ahaaa sina mkuu,mimi nimemrudia Mungu kwa sasa
Aisee! Hii nchi ina safari ndefu sana.
haya mambo utayakuta bongo tuAmenikumbusha familia moja hivi miaka ya nyuma kijana wao alipambana akanunua gari mbili za maana ndani ya mwaka mmoja na akajenga nyumba. Mwaka uliofuata dada katika familia hiyo akaugua, ile familia ikamuweka kikao yule kijana na kumwambia dada yako akifa utamla nyama mpaka ummalize.
Ni wajinga kuliko maelezo.Hii nchi tatizo sio CCM wala katiba bali ujinga. Watu bado wajinga sana kupita kiasi
It's sad. Mtu anaona it's impossible kupata $200,000 bila uchawi!Mbona ni pesa ya kawaida hiyo kwa wapambanaji?!!
Mleta mada ukipata mume akupe hiyo LC300 upo tayari?
Huyo sasa si mwizi ndo maanaUkiwa na ng'ombe mia mbili wa maziwa unaweza kumnunulia mtu awe anachungia ng'ombe
Kuna dogo mmoja yuko tra alikuwa anaishi msela hana mke kaoa juzi tu lakini alikuwa na watoto wawili
Aliajiri beki tatu msela
Jeep Cherokee, v8 na prado viko ndani
Kazini anaenda na prado beki tatu anatumia v8 na jeep kupeleka madogo skuli na kwendea gengeni
Siyo kila aliyefanikiwa ni uchawi mafanikio ya kweli yapo na inapendeza sana
Nina assets zaidi ya hiyo LC300.Njoo nikuoe sasa bibie nikupe LC 300
Kwa hiyo ushamiliki?Sijui kwanini kuna baadhi ya watu wanawaza ujinga ujinga tu, kila kitu unaweza kumiliki bila maagano wala ndumba
Ni uamuzi wako, bidii na kujituma kwako nakumtanguliza Mungu mbele
Vingine vyote ni fikra zako tu
Mabaharia wana kauli yao pesa makaratasi hasara roho tu hapo itatumbuliwa yote bila kubaki hata chenji..Wachawi na waganga mbona maskini tu....Acha woga 400M kitu kidogo..watu wanavuta tu..mtu anayenunua gari ya 150M bila wasiwasi akijibana anavuta hata ya 500M..kila kitu kinawezekana...pesa ni makaratasi tu
Mungu anataka kwanza uone kama yeye anavyoona, yaani mindset yako iamini bila shaka kwa Imani dhabiti ( 100%) hata pale ambapo huna chochote Wala mtaji . Ukiamini lazima uwe tajiri mkubwa utakuwa tu , kwa maneno mengine barabarani hapahitaji dereva muoga muoga kuovertake ,ukiamua kuovertake ..overtake bila shaka .Kuna mambo ya kufanya: 1) kumwabudu kwa Imani.Ningeongea kitu ila ngoja ninyamaze,sipromote ushirikins na nina ulaani maana kuna wajinga nikiwa ofisi fulani walikuwa wanapanda tu vyeo na mimi wamenikuta ofisini,nimewazidi elimu na experience,kumbe yanaroga hatari,mimi namtumainia Mungu siwezi kukwambia namiliki nini lakini nina amani na ninachokipata
kaa mkao wa safari mama, speed 220 tunatoka Dom kwenda Dsm bila shidaUkinunua Excel usisahau kunipa lifti
Na unakuta wamevaa wamependeza hasa😅😅😅Viongozi wengi wao ni washirikina balaa na madereva wao wanafahamu hilo,maana wanakutana na mambo mengi
Ova