Huyu ni mwizi hatofaitiani sana na washirikinaUkiwa na ng'ombe mia mbili wa maziwa unaweza kumnunulia mtu awe anachungia ng'ombe
Kuna dogo mmoja yuko tra alikuwa anaishi msela hana mke kaoa juzi tu lakini alikuwa na watoto wawili
Aliajiri beki tatu msela
Jeep Cherokee, v8 na prado viko ndani
Kazini anaenda na prado beki tatu anatumia v8 na jeep kupeleka madogo skuli na kwendea gengeni
Siyo kila aliyefanikiwa ni uchawi mafanikio ya kweli yapo na inapendeza sana
Kwenye maswala ya biashara sikatai, hao wakinga uchawi kwao ni maji na samaki sikupingi. Ila uliposema kwenye udereva nakukatalia kiasi chake.Umeishi mji upi?nimezaliwa DSM enzi za Nyerere,hakuna sehemu kuna ushirikina kama kariakoo,usione maduka yale ukadhani yspoyapo tu,wapemba,wakinga ni noma kariakoo ni jehanam kabisa
Asubuhi nenda Azania front au KKKT kariakoo,kuna ibada za asubuhi,wale sio wajinga kumuomba Mungu,kuna vita ya kiroho sana huko maofisini hata hao wasomi wanarogana mno,huwezi kuamini ila ndio hivyo,madereva wa STK waogope
Jaribu kuuliza madereva wa serikali,kuendesha vigogo watu wanarogana sana,naongea kitu nakifahamu,uliza mtuKwenye maswala ya biashara sikatai, hao wakinga uchawi kwao ni maji na samaki sikupingi. Ila uliposema kwenye udereva nakukatalia kiasi chake.
Akina Muganyizi kupenda sifa ndio sifa yenu!!!Irebojo
,,infact kama uwezi kumiriki uto tu gari it's about you.
binfsi yangu mimi mr.Muganyizi hizo LC300 huwa navunia kahawa kure kwetu Kagera.
nikitoka Brussels kwenye chikao cha UN unitafute nikupe mbinu za kumiliki pesa.
Sikupingi kaka, ni biashara pia waache warogane sisi wengine tushike jembe tukalimeJaribu kuuliza madereva wa serikali,kuendesha vigogo watu wanarogana sana,naongea kitu nakifahamu,uliza mtu
Wahaya wanapenda sifa lakini hawaendelezi kwao. Ukifika mkoani Kagera kuanzia makao makuu Bukoba na wilaya nyingine pamechoka vibaya ila wao akina Rugemarira wamekaa kutafuta sifa mijini kuwa wao ni watu wa daraja nyingine. Hebu igeni watu wa mkoa wa Kilimanjaro kuanzia Moshi na wilaya nyingine unapokuta magorofa na barabara za lami hadi vijijini. Mfano kama magorofa ya Freman Mbowe na Reginald Mengi huko Machame ni mhaya gani aliwahi kufanya jambo kama hilo kijijini kwao???!!!.Vipi Muganyizi, na huyo Rutashobya hapo BOT hamjambo?
Haya bwana muganyiziIrebojo
,,infact kama uwezi kumiriki uto tu gari it's about you.
binfsi yangu mimi mr.Muganyizi hizo LC300 huwa navunia kahawa kure kwetu Kagera.
nikitoka Brussels kwenye chikao cha UN unitafute nikupe mbinu za kumiliki pesa.
Hiyo ni juu yako sasa sipo kukuaminishaKwangu mimi huu siyo uthibitisho kwamba una huu ukwasi, maana hizi BS tunazitengeza sana kuombea viza.
Mawazo ya kijinga hayo.LC 300 and alike is not for everyone.
Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.
Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risks.
Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.
Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.
, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru,Tunajiona tumefanikiwa kwaakili zetu ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.
Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.
Asilimia kubwa tuko hivyo.
Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.
Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.
Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.Walifuata miujiza sio kujiweka karibu na Mungu ili waione pepo.
Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kali na una nyumba yako ya kuishi????
My friend Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
hivi kwa sasa crown inasimamia ngapiHata hiyo Crown tu ni mtiti
li gari flani la hovyohovyo tu..mxxsiuu!
Hakuna kifo ambacho sio Cha kikatili labda tuambie hicho kifo ambacho sio Cha kikatili kipoje?Hizo mali zinaweza sababisha mtu akafa kifo cha kikatili na chenye maswali mengi, tofauti na mtu akifa kwa sababu ambazo zinaeleweka.
Mawazo ya kijinga hayo.Ya waafrica wenzio,we mwenyewe hapo kwako kisutu kuna mtoto umemgeuza zezeta
ni sahihi, ila ulale mauti katika Kristo!Kufia usingizini raha sana
“Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.ni sahihi, ila ulale mauti katika Kristo!
JESUS IS LORD&SAVIOR
Mkuu unataka kutuaminisha kwamba mtaji mkuu wa hawa manabii ni umaskini wa watu wetu ambao wengi wao wameshakata tamaa ya kufanikiwa.LC 300 and alike is not for everyone.
Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.
Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risks.
Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.
Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.
, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru,Tunajiona tumefanikiwa kwaakili zetu ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.
Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.
Asilimia kubwa tuko hivyo.
Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.
Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.
Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.Walifuata miujiza sio kujiweka karibu na Mungu ili waione pepo.
Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kali na una nyumba yako ya kuishi????
My friend Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
Vijana wanasikitisha sana. $140,000 mpaka ukaroge?M
Mil 300 si ni dollar 140000 Sasa. Ni pesa ya kuimbwa? Maskini bhan