Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Ukiwa na ng'ombe mia mbili wa maziwa unaweza kumnunulia mtu awe anachungia ng'ombe
Kuna dogo mmoja yuko tra alikuwa anaishi msela hana mke kaoa juzi tu lakini alikuwa na watoto wawili
Aliajiri beki tatu msela
Jeep Cherokee, v8 na prado viko ndani
Kazini anaenda na prado beki tatu anatumia v8 na jeep kupeleka madogo skuli na kwendea gengeni
Siyo kila aliyefanikiwa ni uchawi mafanikio ya kweli yapo na inapendeza sana
Huyu ni mwizi hatofaitiani sana na washirikina
 
Umeishi mji upi?nimezaliwa DSM enzi za Nyerere,hakuna sehemu kuna ushirikina kama kariakoo,usione maduka yale ukadhani yspoyapo tu,wapemba,wakinga ni noma kariakoo ni jehanam kabisa

Asubuhi nenda Azania front au KKKT kariakoo,kuna ibada za asubuhi,wale sio wajinga kumuomba Mungu,kuna vita ya kiroho sana huko maofisini hata hao wasomi wanarogana mno,huwezi kuamini ila ndio hivyo,madereva wa STK waogope
Kwenye maswala ya biashara sikatai, hao wakinga uchawi kwao ni maji na samaki sikupingi. Ila uliposema kwenye udereva nakukatalia kiasi chake.
 
Vipi Muganyizi, na huyo Rutashobya hapo BOT hamjambo?
Wahaya wanapenda sifa lakini hawaendelezi kwao. Ukifika mkoani Kagera kuanzia makao makuu Bukoba na wilaya nyingine pamechoka vibaya ila wao akina Rugemarira wamekaa kutafuta sifa mijini kuwa wao ni watu wa daraja nyingine. Hebu igeni watu wa mkoa wa Kilimanjaro kuanzia Moshi na wilaya nyingine unapokuta magorofa na barabara za lami hadi vijijini. Mfano kama magorofa ya Freman Mbowe na Reginald Mengi huko Machame ni mhaya gani aliwahi kufanya jambo kama hilo kijijini kwao???!!!.
 
LC 300 and alike is not for everyone.

Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.

Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risks.

Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.

Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.

, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru,Tunajiona tumefanikiwa kwaakili zetu ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.

Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.

Asilimia kubwa tuko hivyo.

Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.

Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.

Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.Walifuata miujiza sio kujiweka karibu na Mungu ili waione pepo.

Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kali na una nyumba yako ya kuishi????

My friend Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
Mawazo ya kijinga hayo.
 
Hizo mali zinaweza sababisha mtu akafa kifo cha kikatili na chenye maswali mengi, tofauti na mtu akifa kwa sababu ambazo zinaeleweka.
Hakuna kifo ambacho sio Cha kikatili labda tuambie hicho kifo ambacho sio Cha kikatili kipoje?
 
LC 300 and alike is not for everyone.

Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.

Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risks.

Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.

Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.

, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru,Tunajiona tumefanikiwa kwaakili zetu ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.

Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.

Asilimia kubwa tuko hivyo.

Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.

Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.

Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.Walifuata miujiza sio kujiweka karibu na Mungu ili waione pepo.

Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kali na una nyumba yako ya kuishi????

My friend Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
Mkuu unataka kutuaminisha kwamba mtaji mkuu wa hawa manabii ni umaskini wa watu wetu ambao wengi wao wameshakata tamaa ya kufanikiwa.
 
Vossen_HF8_with_Toyota_Land_Cruiser_J300_gallery_1.jpg
 
Back
Top Bottom