Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Uzuri nature ilivyo huwezi kuvuka pale unapoamini ndipo limit yako ilipo.
Wakati wewe ukizungumzia milion 400, kuna watu wanaswali kweli na wanamiliki gari hadi zenye thamani zaidi ya hapo.
Ni siri yao mkuu ,waafrica sisi ni wanafiki sana,asilimia kubwa tunajifanya tunamuamini Mungu ila tunapishana kwa waganga kila siku
 
Ni siri yao mkuu ,waafrica sisi ni wanafiki sana,asilimia kubwa tunajifanya tunamuamini Mungu ila tunapishana kwa waganga kila siku
Sijui kwanini waafrika huwa hatuamini kuwa mtu anaweza kufanikiwa kwa juhudi. Iwe katika chochote tunasema wameroga. Iwe katika mpira, katika maendeleo katika chochote. Ulozi ungelipa bila shaka Afrika ingekuwa imeendelea zaidi ya west hata timu zetu za mpira zingefika mbali sana huko worldcup zikabeba kombe.
 
Yuko sahihi anachokisema.

Nimepita kwenye field ya madereva nimejionea sana how witchcraft is applied in their daily activities.

Mkuu, wanasema no research no right to speak...
I dont say kwamba hamna uchawi haupo but if unategemea uchawi kufika, hao waganga wenyewe wanaowapa wanaishi maisha ya ajabu, si matajiri. Wapo matajiri wa halali na wa uganga, wapo wanao rithi, sasa wewe utaamua pa kukaa
 
Waafrica ndio tulivyo mkuu,
 
Kuendesha tu unaenda kuroga!, Hutamani kumiliki?.
 
Hata hao waendesha crown, nao ni walewale tu
 
Nimesoma kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo,na hapa nasikiliza injili ,
Wewe umelisikia neno haujalielewa neno ndio mana unashangaa watu kushinda kanisani bado ni masikini kunavingi vya kumuomba Mungu kabla haujamuomba utajiri na utajiri kwa Mungu ni kuwa na akiba ya kufanya mwema hujui hayo maovu ya binadamu ndio sababu ya Mungu kupunguza umri wa watu kuishi duniani kingine utajiri wa Dunia hii ni nyongeza tu ni sawa na kwenda dukani kununua Mayai 9 ukaongezewa yai moja la nyongeza wewe lile moja ukaona lenye thamani kubwa kuliko yale tisa uliyokuwa nayo
 
mdukuzi umesikia tajiri hawezi kuridhi ufalme wa mbinguni,hili napinga kwa sababu kuu 2. Ambraham alikuwa tajiri,issaka alikuwa tajiri,hakuna mtu sio tajiri. Kuna ile imani halisi ukiiamini kuna lango A,B,C.

Aisee ukimwita Mungu atakupa hilo na zaidi,nimeamini hili kuna kipindi nilikuwa kama wewe,aisee fucking truth, nawaza waganga tu . Wanaweza ila hata Mungu anaweza kuna njia unayotakiwa uijue umfikie . Ila ujue Mungu azui mapigo yatakayokupata, yeye anakuepushia kifo,kudhurika . Unakumbuka makonda alipata ajali mbaya sana ila Mungu alimnusuru . Ukiona hadi leo upo Mungu anataka umjue yeye.

Kuna waganga wanasaidia, kwanini unawaona watu kanisani na kwa waganga wanatolewa vitu walivyorushiwa,haribiwa sii wote wanaenda kuua. Jingine maisha hapa duniani kila mtu anateseka sio anaishi kwa raha .
 
Fanya kazi acha Imani potofu...
Waafrika hamtaendelea kila anaefanikiwa mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…