Uko sahihi piaUzuri nature ilivyo huwezi kuvuka pale unapoamini ndipo limit yako ilipo.
Wakati wewe ukizungumzia milion 400, kuna watu wanaswali kweli na wanamiliki gari hadi zenye thamani zaidi ya hapo.
Yes, kuna jamaa aliniambia kitambo alikuwa ananielezea ya the power of attraction. Jisni ya kuattract vitu iwe pesa au chochote kinaanza na wewe mwenyewe kuamini kabisa kuwa utakimiliki.Uko sahihi pia
Inahitaji imani ya kweli mnoo
Siye tunaita "yaqeen"wachache wanayo ya kuamini Mungu km unamuona na ukifika level hizo we umefuzu
Shida ni kua akili duni na ujinga umetujaaSijui kwanini waafrika huwa hatuamini kuwa mtu anaweza kufanikiwa kwa juhudi. Iwe katika chochote tunasema wameroga. Iwe katika mpira, katika maendeleo katika chochote. Ulozi ungelipa bila shaka Afrika ingekuwa imeendelea zaidi ya west hata timu zetu za mpira zingefika mbali sana huko worldcup zikabeba kombe.
Ndio waafrica tulivyo mkuuShida ni kua akili duni na ujinga umetujaa
Mimi niko kwenye biashara fulani hv jamani ukiwaambia watu hutumii chochote zaidi ya ibada hawakuelewi wanakuona umechelewa ila wao na mimi tunafanana tu maisha
Watu wanaamini sana kwenye ushirikina kuliko kuamini ktk Mungu na juhudi za kweli
Vinasikitisha mnoo
Uzuri Mungu ashasema mchawi na mshirikina mafanikio yao na kinga zao ni kama utando wa buibui tu
Kachafuu! Kako kama bata.
Wachache wana hyo karama wengi wetu tuna pupa na haraka ndo maana hatufanikiwiYes, kuna jamaa aliniambia kitambo alikuwa ananielezea ya the power of attraction. Jisni ya kuattract vitu iwe pesa au chochote kinaanza na wewe mwenyewe kuamini kabisa kuwa utakimiliki.
Kabisa mkuu. Sema watu watakwambia sio kweli wana siri wewe huwezi jua. Ila mtu kabisa unaweza kufanikiwa bila kupita njia hizoWachache wana hyo karama wengi wetu tuna pupa na haraka ndo maana hatufanikiwi
Ila ukiwa na subira unapata
Wapo wana mafanikio hawajawahi hata kumiliki namba ya mganga wa kienyeji au kuwaaona
Hawa watu wa Mungu tunaowaxhangia wanunue gari la kanisa alafu sisi wanatuombea,hell yoo,we need a breakUngesoma na kulielewa neno la Mungu usingekuwa umeandika huu upumbafu
Huko kanisani kwenu kuna mabilionea wangapi?Ungesoma na kulielewa neno la Mungu usingekuwa umeandika huu upumbafu
Kaajiriwe UN vitengo vitengo vya juu au mashirika ya kimataifa highly paid...na hii ndo madhara ya kuzaliwa nchi masikini yani kila kitu lazima uhusishe na uchawiLC 300 and alike is not for everyone.
Sugua sana goti msikituni na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye prado mchaga.
Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 400 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risk.
Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.
Tanzania ukichukua fomu tu ugombee ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.
Ikulu ya Magogoni kila siku ni ubani udi na madawa yanafukizwa tu.
Ukija kwa wamiliki the same, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru, ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.
Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.
Asilimia kubwa tuko hivyo.
Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.
Ninakubaliana na wewe...uchawi na kinyume chake.world of spiritual
Sahihi kbsaUzuri nature ilivyo huwezi kuvuka pale unapoamini ndipo limit yako ilipo.
Wakati wewe ukizungumzia milion 400, kuna watu wanaswali kweli na wanamiliki gari hadi zenye thamani zaidi ya hapo.
GT bana. Naona umezipanga hapo LC300, range 2024, G wagon brabus 2024 kwenye yard oysterbay heavily gated affluent neighbourhoodAisee! Hii nchi ina safari ndefu sana.