Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Kwamba alitumwa makabulini,alafu anakona kabuli nmegawanyika akala ndefu[emoji2][emoji2][emoji2]

Asa alienda kufanya nini sasa kama anakula ndefu[emoji1]
 
500 mil sio hela ndogo jamani tuwe wakweli
Kuwa ndogo au kubwa inategemea na ubongo wako unaona na kuwaza nini.....unajua dhana ya mafanikio hailingani baina ya mtu na mtu....kuna mtu kujenga nyumba , kusomesha na kumiliki chombo chochote cha usafiri hapo amemaliza na humwambii kitu....lakini ni tofauti kwa mwingine ambaye hayo kwake ni mahitaji ya msingi sio mafanikio....hatufanani na hatutafanana....na kutofautiana huko ndio raha na tamu ya maisha.
 
Wakamate hao hao nywere za Kichaa ndio upate nini Waganga si wanawaambia muue ndugu hapa unakuja na tolii ya kumnyoa kichaa mbona vichaa wangekua dili aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…