ngulukizi
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 619
- 1,749
Huna unalolijua Mimi nilitumwa nywele za kichaa zikawekwa kwenye chupa na dawa ya maji nikazika kwenye genge langu miaka ya 2002 maeneo ya Moshi bar nikawa nakimbiza Sana baada ya biashala kuanza kuyumba niliporudi nikaambiwa Yule kichaa atakuwa amekufa ndio sababu biashala inataka kuanguka hivyo nikabadilishiwa ndio chanzo cha kupelekwa makabulini kuingia maagano Acha nisizungumze Sana sababu wengi wenu Humu ni wale ambao Maisha mmeyakuta hamjawahi kutafuta kwenye ushindani mpk utoboe ujue umehangaika ebu tazama hapo nilikuwa na miaka 15 nimeanza Maisha na enzi zile unatoka Moshi bar gari unakuja kupandia mazizini au Mombasa ukipita lerini pale unakuta maiti za watu miaka hiyo kufanikiwa kunahitaji kujitoaWakamate hao hao nywere za Kichaa ndio upate nini Waganga si wanawaambia muue ndugu hapa unakuja na tolii ya kumnyoa kichaa mbona vichaa wangekua dili aisee..