Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

LC 300 and alike is not for everyone.

Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.

Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 400 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risk.

Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.

Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.

Ukija kwa wamiliki the same, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru, ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.

Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.

Asilimia kubwa tuko hivyo.

Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.

Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.

Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.

Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kalina una nyumba yako ya kuishi?

Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
Dogo
Kweli mikutano ya injili inajaza wanaoupenda miujiza hii ni ishara kuwa watu wengi ni masikini

Wanasiasa wanawapenda viongozi wa dini kwa kuwa wanawasaidia kuwanyonya zaidi

Alafu wanawaambia umasikini wao umesababishwa na laana za ukoo
Siyo serekali
 
Hata wakoloni kabla ya kuja walitutangulizia wapelelezi na wamisionari ili watutawake vizuri
 
Amenikumbusha familia moja hivi miaka ya nyuma kijana wao alipambana akanunua gari mbili za maana ndani ya mwaka mmoja na akajenga nyumba. Mwaka uliofuata dada katika familia hiyo akaugua, ile familia ikamuweka kikao yule kijana na kumwambia dada yako akifa utamla nyama mpaka ummalize.
Mmhhh...hao nao!kaahh
 
LC 300 and alike is not for everyone.

Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.

Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 400 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risk.

Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.

Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.

Ukija kwa wamiliki the same, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru, ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.

Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.

Asilimia kubwa tuko hivyo.

Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.

Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.

Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.

Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kalina una nyumba yako ya kuishi?

Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
Sishangai sana hii Nchi 90% ya watu wanaamini kwenye ushirikina na ipo top 10 Duniani 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9pdAEXqMEz/?igsh=N3djbHJkcThwanVr
 
Shida ni kua akili duni na ujinga umetujaa
Mimi niko kwenye biashara fulani hv jamani ukiwaambia watu hutumii chochote zaidi ya ibada hawakuelewi wanakuona umechelewa ila wao na mimi tunafanana tu maisha
Watu wanaamini sana kwenye ushirikina kuliko kuamini ktk Mungu na juhudi za kweli
Vinasikitisha mnoo
Uzuri Mungu ashasema mchawi na mshirikina mafanikio yao na kinga zao ni kama utando wa buibui tu
Hicho unaita Ibada unadhani ni nini labda?
 
Kila mganga na sharti lake brother
Naona mnapata tabu tu wengine niliwaacha Kariakoo hapo na masharti yao ya kijinga waliyopewa na Waganga sasa hivi wapo kijijini..mtu anapewa maji amwagie dukani kila asubuhi na asisalilimiane na mtu wengine wasibebe familia kwenye gari yake na gari yenyewe ya kipimbi tu wengine mzigo hausimami sasa hela za nini hapo ni show off huku ukipata tabu..
 
Sijui kwanini waafrika huwa hatuamini kuwa mtu anaweza kufanikiwa kwa juhudi. Iwe katika chochote tunasema wameroga. Iwe katika mpira, katika maendeleo katika chochote. Ulozi ungelipa bila shaka Afrika ingekuwa imeendelea zaidi ya west hata timu zetu za mpira zingefika mbali sana huko worldcup zikabeba kombe.
Amini kabisa ulozi unahusika katika mafanikio ya mtu ni vile watu wana roho mbaya hawataki mfanikiwe wote ila ingekuwa tunaelekezana njia wanazo pitia za ulozi mafanikio tungekuwa nayo.

Tunaaminishwa sana kuwa ukifanya kazi kwa bidii unafanikiwa lakini hao wanao tuaminisha ukifika ofisini mwao unakuta udi na ubani kama sio ulozi ni nini sababu ya kuchoma udi na ubani?
 
Ukiwa na ng'ombe mia mbili wa maziwa unaweza kumnunulia mtu awe anachungia ng'ombe
Kuna dogo mmoja yuko tra alikuwa anaishi msela hana mke kaoa juzi tu lakini alikuwa na watoto wawili
Aliajiri beki tatu msela
Jeep Cherokee, v8 na prado viko ndani
Kazini anaenda na prado beki tatu anatumia v8 na jeep kupeleka madogo skuli na kwendea gengeni
Siyo kila aliyefanikiwa ni uchawi mafanikio ya kweli yapo na inapendeza sana
Ukishasema TRA mada inakuwa flipped moja kwa moja. Hamna asiyejua sarakasi za ma afisa TRA.
 
Shida ni kua akili duni na ujinga umetujaa
Mimi niko kwenye biashara fulani hv jamani ukiwaambia watu hutumii chochote zaidi ya ibada hawakuelewi wanakuona umechelewa ila wao na mimi tunafanana tu maisha
Watu wanaamini sana kwenye ushirikina kuliko kuamini ktk Mungu na juhudi za kweli
Vinasikitisha mnoo
Uzuri Mungu ashasema mchawi na mshirikina mafanikio yao na kinga zao ni kama utando wa buibui tu
Biashara gani hiyo inaenda bila ya kupuliza?
Huku hadi kilimo lazima ukapulize sembuse biashara.
 
Back
Top Bottom