mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #301
Umeongea point muhimu sana yena iko relkevant kabisa na hii mada,africa ukifanikiwa mshirikina,kwa wazungu ukifanikiwa freemasonNina maswali hapo hapo kadhaa
1. Tu take mfano wa akina elon musk, mark zuckerbeg, jack ma, jeff bezos, bill gates, hawa wote tunaaminishwa ni kuwa ni FREEMASONS sijui ni kweli au la!, ila nataka mifaham jambo moja iv kwanini wao wawe ndio richest men in the world?, na ukiangalia ideas zao zilivyowafanya wafike huko ni GREAT,sasa ile ability ya ku innovate new ideas au hayo mawazo nani aliwapa au aliwaongoza ? , tukisema ni freemasons ndio inawapa kwani wangapi wako huko na bado ktk chama na bado hawajacika level za hao jamaa?, kama ni kafara ni ipi hio wanayotoa then wanabaki kuwa top kwanini wasiwe wengine? Nafikiri kuna kitu cha zaidi ukiachana na nguvu za kiroho..
Samahan kwa kuwa nje ya mada ila pia sijui kama nitakuwa nimeeleweka🙏
Hapo nhoma droo kumbe hata wazungu hawaamini kuwa mafanikio makubwa hutoka kwa Allah au Jehovah,hii kitu muhimu sana umeongea,mafanikio bado yana siri kubwa sana