Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

Heri ya Ijumaa Kuu comrade!

Twende tukachukue Fomu Mwezi Junk kama tulivyotangaziwa na Katibu Mkuu wetu sasa 🤗
Kazi yangu ni kumtafutia kura Za Ndio Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Mimi nitasimama kumuombea hizo kura wakati namimi ninapoomba zangu za kunifanya nikafanye kazi Makao Makuu ya Nchi

Ule mshahara na marupurupu wa uwakalishi sio wa kuukosa
 
Mshahara ni mnono kwelikweli na ndio maana kila mtu huku majimboni anauotolea Mate. Kasoro mimi tu ambaye nimejikita katika kumsemea Mama na kujiandaa kumtafutia kura za ndio.
 
Hongera sana Mkuu, ukimaliza za Mama mapema tafadhali karibia jimboni kwangu unipe kampani kwenye Kampeni zangu 🤗
 
Nitafika na kuzungumza katika kukuombea kura mpaka watu watabakia kububujikwa na machozi ya furaha na kukumiminia kura za ndio kwa kishindo .
 
Shukrani sana comrade Kwa tafu

Nimeshaandaa magari mawili ya PA kwaajili ya jambo langu 🤗
 
Back
Top Bottom