Na sio kila mtu anaweza kuwa mcheza porno though inalipa kinoma ukiwa na de libolozHatuwezi wote tukawa matajiri mkuu, wengine watakuwa matajiri, wengine vipato vya kati na wengine vipato vya chini, na wengine wakawa hawana vipato, kufanya biashara ni kipawa sio wote wanavyo, nimegundua pia hata shughuli za kilimo ni kipawa sio kila mtu anaweza kuwa mkulima
Na sio kila mtu anaweza kuwa mcheza porno though inalipa kinoma ukiwa na de liboloz
Tatizo mie nina kibamiaNdiyo wakacheze si wanataka utajiri
Ova
Umemaliza ...Hatuwezi wote tukawa matajiri mkuu, wengine watakuwa matajiri, wengine vipato vya kati na wengine vipato vya chini, na wengine wakawa hawana vipato, kufanya biashara ni kipawa sio wote wanavyo, nimegundua pia hata shughuli za kilimo ni kipawa sio kila mtu anaweza kuwa mkulima
Mtu kua tajiri ni yule mtu mwenye kipato cha kumuezasha ku pata huduma muhimu za maisha nzuri na pia abaki na savings za kutosha kwa dhalura yoyote katika maisha yake.Mleta mada - tajiri ni mwenye vigezo gani?
Siku huyu mtu akipata tatizo la afya kama kidney failure ndo utajua kwamba alikua afanyi kazi, kwasbb atahitaji zaidi ya 200m kutibiwa na amekua kazini zaidi ya miaka 40.Lizikeni na Mishahara yenu...
Una nyumba ya kuishi/Umepanga
Una usafiri binafsi/Una panda daladala
Una bima ya Afya
Una uhakika wa kula
Una uhakika wa Ada Kwa watoto wako
Una uhakika Kila Mwezi Salio linaingia
Bado ukistaafu unapewa kiinua mgongo cha zaidi ya 100M, na unaendelea kulipwa 1/3 hadi utakapokufa Duniani
Tena labda auze shamba la shuleUnamanisha saidia fundi au civil Engineers, wengi huwezi kuwalinganisha kwa kipato na waalimu alio ajiliwa serikalini au private, mualimu hawezi kufanya muamala wa 30m bila kulopa benki au kuuza shamba.
Umewaza sahihi, hapo ni Jukumu la Kila mmoja kuona anaandaa mazingira ya kukuza kipato chake kuliko kutegemea mshahara pekee.Siku huyu mtu akipata tatizo la afya kama kidney failure ndo utajua kwamba alikua afanyi kazi, kwasbb atahitaji zaidi ya 200m kutibiwa na amekua kazini zaidi ya mwaka 40.
Na kibaya zaidi ukipata ugonjwa kama huo na ajira inaondoka hamna anae penda kuajiri mgonjwa sugu, bora mtu umiliki ajira yako mwenyewe ni jambo muhimu, hizi bima za kazini zina tibu thphoid Uti maleria fagus na kuzaa ambao ni magonjwa ya kawaida sanaUmewaza sahihi, hapo ni Jukumu la Kila mmoja kuona anaandaa mazingira ya kukuza kipato chake kuliko kutegemea mshahara pekee.
Nina jamaa namfahamu amepata hilo tatizo la Moyo, matibabu wamemwambia 35M kumuwekea kifaa cha kumsaidia kusukuma damu.
Bahati nzuri alikuwa anamiliki nyumba 2 hapo DSM ikabidi auze Moja ili imsaidie kujiuguza
Swala la kujiwekeza ni muhimu sana Kwa nyakati hizi tunazoishi ambapo maradhi yamekuwa mengi kuliko miaka ya 90 kurudi nyuma
Ni sahihi MkuuNa kibaya zaidi ukipata ugonjwa kama huo na ajira inaondoka hamna anae penda kuajiri mgonjwa sugu, bora mtu umiliki ajira yako mwenyewe ni jambo muhimu, hizi bima za kazini zina tibu thphoid Uti maleria fagus na kuzaa ambao ni magonjwa ya kawaida sana
Hiyo ndo njia sahihi kua na cash-flow, otherwise kusubilia pesa zawatu kukutatulia matatizo ni shida, tena real estate ziwe urban centre sio vijijini,Ni sahihi Mkuu
Umeandika ukweli mchungu
Binafsi kutokana na majukumu siwezi kufanya biashara ya kusafiri sana, hivyo najitahidi kuwekeza kwenye real estate.
Siku yakinikuta napiga Mnada estate Moja kusovu tatizo
Exactly 💯Hiyo ndo njia sahihi kua na cash-flow, otherwise kusubilia pesa zawatu kukutatulia matatizo ni shida, tena real estate ziwe urban centre sio vijijini,
Managing Directors TIGO, VODA, AIRTEL, DSTV,STARTIMES,AZAM MEDIA, GGM, EXIM BANK, CRDB, NMB, NBC,Tuanze kuwahesabu
Huyu ni nani mkuu, anafanya kazi gani au nu servuce provider gani?
Kaa hapo subiri nakuletea majina yao. Maana ulishakaririshwa maisha huko serikalini hauna unachojua zaidi ya hapo.Wataje mkuu tuwajue achana umbeya wa watu keta majina yao, hao wanao pokea 40+, kama mshahara wa first citizen wa nchi ni 36m kwa mwenzi mtu mgine kupokea 40m ndani ya serikali hiyo huo ujuma.