Huwezi kutajirika kwa kutegemea mshahara, mishahara ni ya wa miaka 20s 30s na married women

Hatuwezi wote tukawa matajiri mkuu, wengine watakuwa matajiri, wengine vipato vya kati na wengine vipato vya chini, na wengine wakawa hawana vipato, kufanya biashara ni kipawa sio wote wanavyo, nimegundua pia hata shughuli za kilimo ni kipawa sio kila mtu anaweza kuwa mkulima
Na sio kila mtu anaweza kuwa mcheza porno though inalipa kinoma ukiwa na de liboloz
 
Lizikeni na Mishahara yenu...

Una nyumba ya kuishi/Umepanga
Una usafiri binafsi/Una panda daladala
Una bima ya Afya
Una uhakika wa kula
Una uhakika wa Ada Kwa watoto wako
Una uhakika Kila Mwezi Salio linaingia
Bado ukistaafu unapewa kiinua mgongo cha zaidi ya 100M, na unaendelea kulipwa 1/3 hadi utakapokufa Duniani
 
Hatuwezi wote tukawa matajiri mkuu, wengine watakuwa matajiri, wengine vipato vya kati na wengine vipato vya chini, na wengine wakawa hawana vipato, kufanya biashara ni kipawa sio wote wanavyo, nimegundua pia hata shughuli za kilimo ni kipawa sio kila mtu anaweza kuwa mkulima
Umemaliza ...
Sasa sijui wanataka wa kufanya hizo kazi zao au wa kuwauzia huduma zao watoke wapi..
 
Lizikeni na Mishahara yenu...

Una nyumba ya kuishi/Umepanga
Una usafiri binafsi/Una panda daladala
Una bima ya Afya
Una uhakika wa kula
Una uhakika wa Ada Kwa watoto wako
Una uhakika Kila Mwezi Salio linaingia
Bado ukistaafu unapewa kiinua mgongo cha zaidi ya 100M, na unaendelea kulipwa 1/3 hadi utakapokufa Duniani
Siku huyu mtu akipata tatizo la afya kama kidney failure ndo utajua kwamba alikua afanyi kazi, kwasbb atahitaji zaidi ya 200m kutibiwa na amekua kazini zaidi ya miaka 40.
 
Siku huyu mtu akipata tatizo la afya kama kidney failure ndo utajua kwamba alikua afanyi kazi, kwasbb atahitaji zaidi ya 200m kutibiwa na amekua kazini zaidi ya mwaka 40.
Umewaza sahihi, hapo ni Jukumu la Kila mmoja kuona anaandaa mazingira ya kukuza kipato chake kuliko kutegemea mshahara pekee.

Nina jamaa namfahamu amepata hilo tatizo la Moyo, matibabu wamemwambia 35M kumuwekea kifaa cha kumsaidia kusukuma damu.

Bahati nzuri alikuwa anamiliki nyumba 2 hapo DSM ikabidi auze Moja ili imsaidie kujiuguza

Swala la kujiwekeza ni muhimu sana Kwa nyakati hizi tunazoishi ambapo maradhi yamekuwa mengi kuliko miaka ya 90 kurudi nyuma
 
Na kibaya zaidi ukipata ugonjwa kama huo na ajira inaondoka hamna anae penda kuajiri mgonjwa sugu, bora mtu umiliki ajira yako mwenyewe ni jambo muhimu, hizi bima za kazini zina tibu thphoid Uti maleria fagus na kuzaa ambao ni magonjwa ya kawaida sana
 
Ni sahihi Mkuu

Umeandika ukweli mchungu

Binafsi kutokana na majukumu siwezi kufanya biashara ya kusafiri sana, hivyo najitahidi kuwekeza kwenye real estate.

Siku yakinikuta napiga Mnada estate Moja kusovu tatizo
 
Hiyo ndo njia sahihi kua na cash-flow, otherwise kusubilia pesa zawatu kukutatulia matatizo ni shida, tena real estate ziwe urban centre sio vijijini,
 
Huyu ni nani mkuu, anafanya kazi gani au nu servuce provider gani?

Wataje mkuu tuwajue achana umbeya wa watu keta majina yao, hao wanao pokea 40+, kama mshahara wa first citizen wa nchi ni 36m kwa mwenzi mtu mgine kupokea 40m ndani ya serikali hiyo huo ujuma.
Kaa hapo subiri nakuletea majina yao. Maana ulishakaririshwa maisha huko serikalini hauna unachojua zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom