Mda wa kusimamie hivo ata utoa wapi, ila muajiliwa akiamua kujilipua kwa hivo na msupport sanaa, ndo tunacho sema, hivi mtumishi anae kopeshwa 200m mshahara wake unakadilia kua kama shilling ngapi kwa mwezi.....Nakupa mfano mdogo Sana!! Nmb anakopesha watumishi mpaka milioni 200!! Sasa mtu aliyechukua hizo 200 m !! Akanunua
1) rice grading mashine 35milion
2) akavuta tandam Moja 40mil
3) akavuta Massey fagason Moja 30 milioni
Akawekeza kwenye kilimo Cha mpunga na kuuchakata na kuupeleka Kenya na Uganda na south Sudan na sehemu akauza Michele DSM!! Unasemaje hapo!??
Sasa vijana wanafanya hivyo wamejipanga haswa haswa wanaukwasi wa hatari!?Mda wa kusimamie hivo ata utoa wapi, ila muajiliwa akiamua kujilipua kwa hivo na msupport sanaa, ndo tunacho sema, hivi mtumishi anae kopeshwa 200m mshahara wake unakadilia kua kama shilling ngapi kwa mwezi.....
Mtumishi anae pokea 6m na majukumu yake ni mengi hawezi kusimamia bishara zake, hamna kada ya ualimu au asikari anae pokea take home 6m hao ndo wenye mda wakusimamia kazi zapSasa vijana wanafanya hivyo wamejipanga haswa haswa wanaukwasi wa hatari!?
Bosi!! Kuna watu Wana mishahara huko serikalini acha kabisa Kuna watu wanavuta mil 4,5,6,7 nk!! Fikiria mtu analipwa mil 6 !! Akaenda nmb awaambia wamkate mil 3 Kwa muda wa Miaka 9 !! Unategemea atapata sh ngapi!?
Ukilizika na mshahara basi umetangaza amani na umasikini na kuudumisha kabisaaLizikeni na Mishahara yenu...
Una nyumba ya kuishi/Umepanga
Una usafiri binafsi/Una panda daladala
Una bima ya Afya
Una uhakika wa kula
Una uhakika wa Ada Kwa watoto wako
Una uhakika Kila Mwezi Salio linaingia
Bado ukistaafu unapewa kiinua mgongo cha zaidi ya 100M, na unaendelea kulipwa 1/3 hadi utakapokufa Duniani
Kwamba Umasikini unakwenda kutia nanga kabisaUkilizika na mshahara basi umetangaza amani na umasikini na kuudumisha kabisaa
Wafanyakazi wa kipato chu juuKuna watu wanalipwa zaidi ya 40mil kwa mwezi sijui hawa unawaweka kundi gani
Inategemea mshahara wako ni kiasi gani bro, mi napokea 10M+kwa mwezi, huu ni mwaka wa kumi na tano, Nina kampuni ya engineering imeajili watu 60,hv vi apartment vya kupangisha vya 350K kwa mwezi, nimevijenga kama utitiri,hapo bado sijawa tajiri(kwa viwango vya bongo)!! Aaaaaaa bro, utakuwa umelewa wewe.Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika 40yrs.
Njia za kutajilika muhimu ziko nne:
1. Uzalishaji wa bidhaa commodity production yenye uhitaji.
2. Huduma au service production tafuta skills za kukuwezesha utowe huduma muhimu katika jamii.
3. Personal saving au kutunza akiba kwa kujinyima mambo mengine.
4. Wizi au ufisadi kwa mali za ummah au za watu matajiri wenye uwezo, japo hi mbinu ni hatari kwenye nchi zinazo fuata sheria.
Ongezea na hayaNi ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika 40yrs.
Njia za kutajilika muhimu ziko nne:
1. Uzalishaji wa bidhaa commodity production yenye uhitaji.
2. Huduma au service production tafuta skills za kukuwezesha utowe huduma muhimu katika jamii.
3. Personal saving au kutunza akiba kwa kujinyima mambo mengine.
4. Wizi au ufisadi kwa mali za ummah au za watu matajiri wenye uwezo, japo hi mbinu ni hatari kwenye nchi zinazo fuata sheria.
Kwa hiyo wewe umetajirika tayari kuwa uliyoita 'millionior?'Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika 40yrs.
Njia za kutajilika muhimu ziko nne:
1. Uzalishaji wa bidhaa commodity production yenye uhitaji.
2. Huduma au service production tafuta skills za kukuwezesha utowe huduma muhimu katika jamii.
3. Personal saving au kutunza akiba kwa kujinyima mambo mengine.
4. Wizi au ufisadi kwa mali za ummah au za watu matajiri wenye uwezo, japo hi mbinu ni hatari kwenye nchi zinazo fuata sheria.
Kwanini umlinanishe Mwalimu na fundi ujenzi, why not fundi ujenzi na judge?Unamanisha saidia fundi au civil Engineers, wengi huwezi kuwalinganisha kwa kipato na waalimu alio ajiliwa serikalini au private, mualimu hawezi kufanya muamala wa 30m bila kulopa benki au kuuza shamba.
Yuko mwamba anakula 100Kaa hapo subiri nakuletea majina yao. Maana ulishakaririshwa maisha huko serikalini hauna unachojua zaidi ya hapo.
With master/CCIE or international certificates wapo wanalipwa net 10mil to 50mil and above hapa inategemea aina ya shirika na uzoefu wako wa kazi hapo ni nje ya bonus and marupurupu mengine watu wanakula hela wewe endelea kusema ni ya 20/30 useme hulipwi vzrKuna watu wanalipwa zaidi ya 40mil kwa mwezi sijui hawa unawaweka kundi gani
Hao hawafiki hata 1% ya watumishi wote, tena watumishi wa mishahara mikubwa wengi ni sehemu ya hiyo kampuni. Wengine ni specialists wanauza skills adimu wengine ni wana siasa mafisadi au wezu ile ajira kuzuga tu.Kuna watu wanalipwa salary kubwa na wanaitumia kuwekeza japo sio wengi Ila wapo.
100m hauwezi kua mshahara labda liwe gawio katika scale za mushahara ya nchi huo wa 100m haupo kabisa.Yuko mwamba anakula 100
113 na allowances zaidi ya 7m. Huyu namjua personally.Yuko mwamba anakula 100
Nadhani atakua expert au specialist katika kampuni hiyo ila sio ya serikali na huyu ni moja kati ya watumishi 10,000.113 na allowances zaidi ya 7m. Huyu namjua personally.
Mkuu mbona kila comment unaitaja serikali? Hujui kuna watu hawafanyi kazi serikalini? Halafu pia wala sio expert na wala sio specialist. Ni mbongo tu wa huko huko Nadonjuki tena mshkaji kijana tu wa 30s.Nadhani atakua expert au specialist katika kampuni hiyo ila sio ya serikali na huyu ni moja kati ya watumishi 10,000.
Sasa hapo mkuu umeanza kutupiga kamba, mshahara wa raisi ni 36m balozi 30m mkuu wa mkoa 5m mkurugenzi wa shirika la ummah 5m to 10m. Sasa huyu ni zaidi ya watumishi wote, kama sio fisadi tu......wale wa IT experts wa mitando ya simu wanskua catogorised as rare specialist na wana ajiliwa kwa mda maalumu usio zidi miaka miwiliMkuu mbona kila comment unaitaja serikali? Hujui kuna watu hawafanyi kazi serikalini? Halafu pia wala sio expert na wala sio specialist. Ni mbongo tu wa huko huko Nadonjuki tena mshkaji kijana tu wa 30s.