Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Huu ni ukweli tu ulio wazi.

Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.

Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.

Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.

Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.

Meneja Wa Makampuni
Kusoma shule si hata aliyeishia darasa la saba nae kasoma? Fanya ufafanuzi hapo kwenye hesabu mkuu
 
Shule zina waathiri sana nyie vijana wetu. Mnapenda sana mashindano ya hizo NAMBA MOJA. Why everything number 1, everything u guys do u compete for number 1. Why???
Mfumo wa elimu ya kushindana shindana kushika namba 1 ndio inawapa depression kubwa watoto wakija mtaanj baada ya kumaliza shule. No wonder kuna mtu humu juzi kaja na uzi analia lia kwann madaktari wafanyishwe interview wakat most of them were Number 1's huko walikotoka 😂😂😂.

Badilisheni hii mindset.
 
Huu ni ukweli tu ulio wazi.

Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.

Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.

Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.

Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.

NIMEFUNGA UZI

Meneja Wa Makampuni
Kuna mambo mengi yanayopelekea kuwa tajiri, ila kweli elimu ni mojawapo
 
Elimu muhimu sana ila kama thinking yenu ya utajiri ni hiyo ya kutoana kafara na kukatana vidole vya miguu lazima ushadadie utajiri wa bila elimu angalia watu kama Dangote wana maelimu ya juu kutoka vyuo vya maana duniani, vinginevyo utakuwa boya tu.
 
Ni Tanzania pekee ndiyo ina discussion ya kusoma au kutosoma, dunia za wenzetu huko hamna huu ujinga... Na tutaendelea kuwa wajinga kwa hizi discussion milele, yaani dunia ya leo tunadiscuss eti kutosoma... Bastard!!
 
Back
Top Bottom