Josephinejoseph664
Member
- Jul 27, 2022
- 22
- 55
Mbona umeenda mbali sana, achana na kua Mtanzania huwezi kua tajiri namba moja duniani kama ni muafrika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baaaasi.. kuna wasomi wangapi ambao biashara zina feli hata kabla hazijaanza??It is all about tactics
Kaamua tu kusema alichosema..bakheresa ana degree ya nini??Baaaasi.. kuna wasomi wangapi ambao biashara zina feli hata kabla hazijaanza??
Aulize haonakina elon musk wamwambie kuwa sio usomi tu unaowaweka hapo maana before walishakula za uso na usomi wao biahara zika corrupt!. Biashara ni strategies and techniques
Huwezi kutenganisha utajiri wa mtu na Elimu. Maarifa ndiyo kila kitu. Elimu ndiyo mwanzo wa kila kitu.Shule zina waathiri sana nyie vijana wetu. Mnapenda sana mashindano ya hizo NAMBA MOJA. Why everything number 1, everything u guys do u compete for number 1. Why???
Mfumo wa elimu ya kushindana shindana kushika namba 1 ndio inawapa depression kubwa watoto wakija mtaanj baada ya kumaliza shule. No wonder kuna mtu humu juzi kaja na uzi analia lia kwann madaktari wafanyishwe interview wakat most of them were Number 1's huko walikotoka 😂😂😂.
Badilisheni hii mindset.
Muafrika na uchawi huwezi watenganisha.Nimeona huko x mwanamziki mmoja anasema lengo lake ni kuwa tajiri namba moja duniani.
Yes, elimu ni muhimu ila ipo na bahati pia, sometimes na ulozi,
Let's see.
mambo ya ajabu sana.Ni Tanzania pekee ndiyo ina discussion ya kusoma au kutosoma, dunia za wenzetu huko hamna huu ujinga... Na tutaendelea kuwa wajinga kwa hizi discussion milele, yaani dunia ya leo tunadiscuss eti kutosoma... Bastard!!
Ni kwel na sijakataa hilo, ila si kila elimu itakupa maarifa na si kila mwenye elimu ama ana maarifa. Na maarifa si lazima yatokane na elimu hii ya kuwekana madarasani.Huwezi kutenganisha utajiri wa mtu na Elimu. Maarifa ndiyo kila kitu. Elimu ndiyo mwanzo wa kila kitu.
Jambo kubwa katika mafanikio ni uwezo wa ndani wa mtu alionao na kuamuwa kufanya jambo lake. Ndiyo maana unaona waliofanikiwa bila kuwa na elimu hufanya juu chini watoto wao wasome ili waje kusimamia mitaji. Hivyo bila elimu huwezi kuwa na biashara endelevu. Nilijua nitafanikiwa tu maishani mwangu, ila ilibidi nisome sana ili niwe na maarifa katika biashara ninayofanya sasa. Hivyo taaluma ina nguvu kubwa sana katika biashara. Biashara inahitaji mikakati mingi. Ndiyo maana kila nafasi hapa duniani inasimamiwa na wasomi katika taaluma husika. Bila elimu hakuna maendeleo endelevu.Ni kwel na sijakataa hilo, ila si kila elimu itakupa maarifa na si kila mwenye elimu ama ana maarifa. Na maarifa si lazima yatokane na elimu hii ya kuwekana madarasani.
Hivi Ronaldo kasoma shule ya digrii ?Huu ni ukweli tu ulio wazi.
Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.
Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.
Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.
Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.
NIMEFUNGA UZI
Meneja Wa Makampuni
Mkuu hujaroga hata kidogo.Jambo kubwa katika mafanikio ni uwezo wa ndani wa mtu alionao na kuamuwa kufanya jambo lake. Ndiyo maana unaona waliofanikiwa bila kuwa na elimu hufanya juu chini watoto wao wasome ili waje kusimamia mitaji. Hivyo bila elimu huwezi kuwa na biashara endelevu. Nilijua nitafanikiwa tu maishani mwangu, ila ilibidi nisome sana ili niwe na maarifa katika biashara ninayofanya sasa. Hivyo taaluma ina nguvu kubwa sana katika biashara. Biashara inahitaji mikakati mingi. Ndiyo maana kila nafasi hapa duniani inasimamiwa na wasomi katika taaluma husika. Bila elimu hakuna maendeleo endelevu.