Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Ulisema diamond ni bora kuliko graduate ghafla umebadilisha tena gia unasema ni mdogo hawezi isaidia Tanzania
Kama hana hawezi isaidia nchi huo ubora wake unatokana wapi
Wewe endelea kukumbatia ujinga sababu ni mjinga kamwe huwezi ona thamani ya elimu
Wasomi wamesaidia Nini Tanzania