Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

Majitu illiterate kwa kujifariji ,yaani mtu akimiliki fleet ya maroli mawili mikweche naye anajiita tajiri ,au kama wale washamba flani wanaitana bilionea
Akili za wabongo zina udumavu + lack of exposure ya mambo mengi

Na hii tabia ya uchawa ndio kabisaa
Nipe mchongo/connection mkuu, sielewi hapa. Nina maisha magumu.
 
Kumbe unaelewa kuwa level yake ya ufahamu ni ndogo, why useme masikini akipata anaona kama wengine hawana?
Yeye kwa uelewa wake mdogo anaamini ana uwezo wa kuwa tajiri namba moja duniani, hiyo ni imani yake, as long as haikuathiri kwa namna yeyote muache kijana aendelee kuamini anachokiamini.
Kwani kuna aliyemfanya kitu? Yeye katoa maoni yake kwenye public ndio maana na sisi tunajadili maoni yake kwenye public , aanze kwanza kuwa namba moja tandale ukiachilia mbali dar es salaam maana kwa level zake bado sana
 
Watu wanakuwa wabishi. Huwezi tenganisha elimu na utajiri, ili uwe juu lazima uwe loaded na maarifa ya kutosha. Elimu ndiyo mwanzo wa kila kitu. Ukiwa na elimu na ukathubutu kufanya biashara au kuwekeza utafika mbali sana.
Yan wanangeaa ongea tu aiseee, wanadhani kuimba komasava ndio kuwa tajiri namba moja duniani, usifanye mchezo lazima ujue kuintegrate na kudifferentiate
 
Wewe ndio hautambui hata unachoongelea na ndio tatizo kubwa la nchi yetu ndio maana tunaendelea kuwa masikini watu mnakumbatia vyeti kuliko hata uelewa..., Diamond mmoja kwa Taifa hili ni bora kuliko graduates milioni moja ambao walichofanya hakiwasaidii wao wala jamii inayowazunguka...

Mark Twain's quote, "A person who does not read has no advantage over a person who cannot read,"
Umaskini unasababishwa na watu kama wewe mnaopinga elimu
Diamond ameisaidia Tanzania kwa lipi huku nchi ikiwa kwenye dimbwi la umaskini baada ya miaka 60+ ya uhuru ebu acha pumba zako
 
Kwani kuna aliyemfanya kitu? Yeye katoa maoni yake kwenye public ndio maana na sisi tunajadili maoni yake kwenye public , aanze kwanza kuwa namba moja tandale ukiachilia mbali dar es salaam maana kwa level zake bado sana
Shida ipo kwenye kauli yako kuwa masikini akipata anaona wengine hawana, kitu ambacho hakiendani na alichokisema jamaa.
 
Umaskini unasababishwa na watu kama wewe mnaopinga elimu
Diamond ameisaidia Tanzania kwa lipi huku nchi ikiwa kwenye dimbwi la umaskini baada ya miaka 60+ ya uhuru ebu acha pumba zako
Mkuu nachelea kusema hata hujui elimu ni nini ? Diamond aliyezaliwa miaka ya hivi karibuni unataka aisaidie Tanzania nini na kwa lipi.., Diamond amefanya kazi yake ya kuburudisha (na sababu watu wananunua kazi zake) nachelea kusema amefaulu..., sasa bila elimu angefanya alichofanya ?

Unadhani bila elimu ya kulima wakulima huko wangekulisha wewe au ungekufa njaa ? Jambo ambalo hujui Elimu sio necessarily Shule (formal schools) unaweza ukaenda shule na husielimike au usiende na ukaelimika.., ile experience mtu anayopata kila siku kwa anachofanya bado ni shule pia..., elimu haianzi siku unaingia shule wala haitakwisha siku unamaliza..., tunajifunza na kuendelea kujifunza kila siku...
 
Ulisema diamond ni bora kuliko graduate ghafla umebadilisha tena gia unasema ni mdogo hawezi isaidia Tanzania
Kama hana hawezi isaidia nchi huo ubora wake unatokana wapi

Wewe endelea kukumbatia ujinga sababu ni mjinga kamwe huwezi ona thamani ya elimu
 
Huu ndo ukweli nenda vyuo

Tatizo lako unapenda shortcut na unavyosema successful people hiyo takwimu ulifanyia wapi

Nenda vyuo vikuu wanafunzi wenye gpa kubwa majority wametokea form six
Diploma wengi ni form four failure
95% of successful people ni failure
 
Shida ni kwamba hiyo elimu haina applications popote mzee just useless but kwenye digital era generation Z tunatafuta watu wanaotoa solutions.Na watu walio bora katika kazi so What to know is that GPA kubwa doesn't means your perfect kwenye kazi but long term experience means your perfect on your work due to changamoto mbalimbali
Huu ndo ukweli nenda vyuo

Tatizo lako unapenda shortcut na unavyosema successful people hiyo takwimu ulifanyia wapi

Nenda vyuo vikuu wanafunzi wenye gpa kubwa majority wametokea form six
Diploma wengi ni form four failure
 
Nakumbuka vijana wa informatics walikuja wanene ila mpaka wanagraduate walikuwa wamebaki mafuvu tu ya vichwa teheeeeee alafu wanakwenda kuwa supervised na jamaa amekula shule laini ya administration
Huu ni ukweli tu ulio wazi.

Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.

Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.

View attachment 3088761

View attachment 3088762

View attachment 3088763

View attachment 3088764

Pia soma: Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.

Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.

NIMEFUNGA UZI

Meneja Wa Makampuni
 
Shida ni kwamba hiyo elimu haina applications popote mzee just useless but kwenye digital era generation Z tunatafuta watu wanaotoa solutions.Na watu walio bora katika kazi so What to know is that GPA kubwa doesn't means your perfect kwenye kazi but long term experience means your perfect on your work due to changamoto mbalimbali
Tatizo sio elimu bali ni uvivu tu wa watanzania kuna watu kibao wamesoma nje ya nchi ila wakija huku hawana tofauti na ambaye amesomea hapa

Physics au biology unayosoma ni ileile ile wanayosoma marekani na nchi nyingine
 
Ulisema diamond ni bora kuliko graduate ghafla umebadilisha tena gia unasema ni mdogo hawezi isaidia Tanzania
Kama hana hawezi isaidia nchi huo ubora wake unatokana wapi
Hivi hata kusoma unajua ? Qoute hayo maneno niliyosema Ad Verbatim kwamba Diamond ni bora kuliko graduate ? Na hayo mambo ya kuweka ubora kama vile ligi ya mpira ndio kupotoka kwenyewe.., narudia tena graduate wa theoretical physics katika nyanja za utunzi wa mziki ana fit ? Kwahio Diamond katika industry yake ni bora kuliko huyo graduate wa industry nyingine katika sekta ya Diamond (He is good in what he is doing)

Unaongelea kusaidia nchi ? kwa kujisaidia yeye ameweza kusaidia nchi, ndio maana hata wewe leo unamjua..., kwa kutumia muda wake ameweza kutoa vibao vya kutosha ambavyo watu wanatumia katika burudani zao (au wewe msaada kwako ni nini)?

Wewe endelea kukumbatia ujinga sababu ni mjinga kamwe huwezi ona thamani ya elimu
Narudia tena unajua hata maana ya Elimu ? Katika Elimu ya mziki wewe mwenye degree ya political science unaweza kumzidi mtu ambaye ana elimu ya muziki katika mziki (through experience) wakati wewe katika industry hio ni mjinga ?

Unajua I like an argument as much as the next guy.... lakini at least in an argument we need to set up premises and we must abide to the facts......; And the Basis of what am Saying and which you seem to miss, unadhani elimu inapatikana Darasani pekee na kwenye Jengo na Ukiwa na Karatasi linalosema umepata Elimu sababu ya kulipia Karo na kukaa kwenye dawati kwa miaka kadhaa basi ume elimika.., Na mimi nakwambia kuna watu hata hawajawahi kanyaga kwenye a formal school na wameelimika kuliko wale wenye prefix before their names.....
 
We endelea kukumbatia ujinga nyie ndo wale mkiwa na mamlaka mtataka shule zote zifungwe alafu watu wajifunze mtaani
Ila kwa bahati mbaya huwezi kuwa kiongozi
 
Nachelea kusema wewe ndio unahitaji elimu maradufu na itachukua muda sana kwako sababu uelewa wako ni mdogo sana... Nani kasema shule hazina maana ? Pitia kwanza hilo andiko litakusaidia na utagundua Education / Elimu haianzii wala kuishia shule.... Na fikra kama zako ndio maana tumekuwa na a Lot of Uneducated people with Certificates...

Maneno yasiwe mengi, Diamond hawezi kuwa tajiri wa kwanza hata kwa Mbezi Beach B
Tuachilie mbali Duniani
 
Back
Top Bottom