Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

Mbunge msukuma ni nani anampigia mahesabu yake ya biashara? Hata kuongea bungeni ni hesabu, namna ya kupangilia maneno. Nimalizie kwa kusema "utajiri ni mchezo " cheza vizuri utajirike.

Kwa hiyo wewe na akili zako hizo fupi ,unaona huyo fala illiterate mwenzako msukuma naye ukitumwa kuleta matajiri naye unamuita tajiri ?
Hivi huwa mna akili au ugoro + maji kwenye vichwa vyenu ?
 
Majitu illiterate kwa kujifariji ,yaani mtu akimiliki fleet ya maroli mawili mikweche naye anajiita tajiri ,au kama wale washamba flani wanaitana bilionea
Akili za wabongo zina udumavu + lack of exposure ya mambo mengi

Na hii tabia ya uchawa ndio kabisaa
 
Huu ni ukweli tu ulio wazi.

Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.

Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.

Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.

Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.

NIMEFUNGA UZI

Meneja Wa Makampuni
Yea ofcourse mm pia nasupport hii fact japo wengine wanaweza kusema kuwa wangeweza kuwaajiri wana mahesabu na kuwafanyia kazi.

Ila mm naamin sana katika self-organisation kwan, n wewe na ni wew pekee ndo unaejua umuhimu wa ndoto zako na maumivu ya kufeli kwako, unaweza muweka mtu akufanyie kazi akaishia kujinufaisha na kutofahamu kwako na ukaishia kuwa na pesa za kawaida tu na sio tajiri namb moja dunian

Education is the key to higher ladders
 
Huu ni sawa na ubishi ule, wa aliyepita advance au diploma, yupi bora akiwa anasoma degree.
Imagine mtu ana diploma ya medical lab 3 years alafu aende tena Bachelor ya medical lab 3 yrs, afu mtu atoke advance na PCB.
 
Shule ni Nini?

Faraday (1791—1867) was an English scientist who studied electromagnetism and electrochemistry and was completely self-taught. Being born the third of four children of a blacksmith just outside of London, England, he had no formal schooling beyond basic reading, writing, and math, and never went to college.

Huu ni ukweli tu ulio wazi.

Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.

Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.

Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.

Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.

NIMEFUNGA UZI

Meneja Wa Makampuni
Naunga mkono hoja.

Ova
 
Diploma usually wengi ni better that advance
 
Huu ni ukweli tu ulio wazi.

Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.

Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.

Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.

Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.

NIMEFUNGA UZI

Meneja Wa Makampuni
Dongo hili au niseme kitofali hiki kimfikie yule Jamaa wa Tandale sasa subiria Jamaa zake wanavyokuja kukuangushia vitofa
 
Sijui duniani. Ila bongo matajiri wetu wote sizani kama wanajua hizo hesabu za intergration
Said Awadh anazijua ndio maana anawakimbiza kimya kimya, integration si unajua inavyokua sasa Said Awadh anacheza na Hesabu ukiuza 100 kumi zako 90 zangu hizo ni Hesabu za Said Awadh
 
Shule ni Nini?

Faraday (1791—1867) was an English scientist who studied electromagnetism and electrochemistry and was completely self-taught. Being born the third of four children of a blacksmith just outside of London, England, he had no formal schooling beyond basic reading, writing, and math, and never went to college.

Mtu kama wewe unaongea huku hivi ila unawalipia watoto wako ada shule watanzania tuacheni unafki

Huyo diamond ambaye hana elimu kubwa watoto wakwe wanasoma breburn ulishawahi jiulize hili swali
 
Aisee !!??? Kuna mtu amesema mtu asisome na kitu ambacho wengi hamjui kupata elimu sio mpaka uende kwenye formal schools hata mtu ambaye hajaenda shule sio kwamba hana Elimu..., Diamond unayemuongelea huenda ana elimu katika vitu anavyofanya (yaani yupo top 10 katika watanzania wote) Elimu ni ujuzi wa wewe kuweza kupambana na mazingira yako..., sio vyeti ulivyonavyo kabatini...

Back
Top Bottom