Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

Huu ni upotoshaj hao diploma wanaenda kusoma degree na bado wanakimbizwa na waliotoka form six
Most successful people choose college and not useless education like A level mtu unakuta anaenda kusoma civil engineering anapiga pcm ambapo kwenye PCM hakuna application yoyote ya civil no relation btn civil engineering and pcm kwahiyo mkuu elewa kuwa Advanced education is useless
 
Jitathmini
Huu ndo ukweli nenda vyuo
Most successful people choose college and not useless education like A level mtu unakuta anaenda kusoma civil engineering anapiga pcm ambapo kwenye PCM hakuna application yoyote ya civil no relation btn civil engineering and pcm kwahiyo mkuu elewa kuwa Advanced education is useless
Tatizo lako unapenda shortcut na unavyosema successful people hiyo takwimu ulifanyia wapi

Nenda vyuo vikuu wanafunzi wenye gpa kubwa majority wametokea form six
Diploma wengi ni form four failure
 
Aisee !!??? Kuna mtu amesema mtu asisome na kitu ambacho wengi hamjui kupata elimu sio mpaka uende kwenye formal schools hata mtu ambaye hajaenda shule sio kwamba hana Elimu..., Diamond unayemuongelea huenda ana elimu katika vitu anavyofanya (yaani yupo top 10 katika watanzania wote) Elimu ni ujuzi wa wewe kuweza kupambana na mazingira yako..., sio vyeti ulivyonavyo kabatini...

Hiyo informal education ni ipi kwa Tanzania nikusaidie nchi tajiri zote hakuna hata moja inamtaji wa vilaza

Kama huoni umuhimu wa formal education tunasafari ndefu sana kama taifa na ndo maana ni nchi maskini
 
Hivi unadhani kuna binadamu ambae hana elimu ? Au hata haujui maana ya Elimu ? Unamuongelea Diamond kati yako wewe mwenye degree zako labda za quantum physics (theory) na yeye anavyopangilia muziki wake anajua wateja wake wanataka nini anajua kuandaa tamasha lake na jinsi ya kucheza na kujipa promo ili watu wamlipe ni nani mwenye Elimu inayomsaidia mtu husika ? Na wewe na Umahili wako wa theoretical physics unaweza kufanya anachofanya ?

Usipende ku complicate life.....
 
formal kwani miaka ya zamani haikuwepo au??elimu zote muhimu hakuna hii kubwa kuliko ile
 
Nimeona huko x mwanamziki mmoja anasema lengo lake ni kuwa tajiri namba moja duniani.

Yes, elimu ni muhimu ila ipo na bahati pia, sometimes na ulozi,

Let's see.
Kuwa Tajiri namba moja duniani sio kama kuimba komasava.
 
Hivi unadhani kuna binadamu ambae hana elimu ? Au hata haujui maana ya Elimu ? Unamuongelea Diamond kati yako wewe mwenye degree zako labda za quantum physics (theory) na yeye anavyopangilia muziki wake anajua wateja wake wanataka nini anajua kuandaa tamasha lake na jinsi ya kucheza na kujipa promo ili watu wamlipe ni nani mwenye Elimu inayomsaidia mtu husika ? Na wewe na Umahili wako wa theoretical physics unaweza kufanya anachofanya ?

Usipende ku complicate life.....
nimependa sana hiyo comments so nice and good argument pia
 
Kwanza aanze kuwa tajiri namba moja tandale. Kuna watu vichas sana, tatizo masikini akipata kidogo anaona kama wengine hawana ndio kinachomsumbua yule dogo
😂😂😂
Kwahiyo jamaa kusema kuwa ndoto yake ni kuwa tajiri namba moja duniani tayari ni kosa, ameshaumiza hisia zako, anajivuna?
 
Bakhresa hayupo kwenye management muda mrefu sana. Watoto wake wote wamesoma vyuo vya maana duniani ambavyo wewe kwenda kusoma hata kizazi chako cha 100 hakitaenda kusoma. Utaishia kupeleka watoto na vitukuu vyako Namtumbo Secondary School
😂😂😂
Hii nchi jau sana, msomi lakini unakuja na hoja ya kipuuzi namna hii!
 
Ukweli mchungu.

Wengi tumekaririshwa kuwa hawa matajiri waliachana na shule kufanya mambo yao. Hamna anaesema waliacha shule wakiwa wanasoma degree za pili na sio bachelor.

Yaani hao matajiri wa dunia walimaliza degree wakatamani kuendelea na shule fursa zikatokea wakaacha shule, lakini tayari walikuwa na degree zao.
 
Hivi unadhani kuna binadamu ambae hana elimu ? Au hata haujui maana ya Elimu ? Unamuongelea Diamond kati yako wewe mwenye degree zako labda za quantum physics (theory) na yeye anavyopangilia muziki wake anajua wateja wake wanataka nini anajua kuandaa tamasha lake na jinsi ya kucheza na kujipa promo ili watu wamlipe ni nani mwenye Elimu inayomsaidia mtu husika ? Na wewe na Umahili wako wa theoretical physics unaweza kufanya anachofanya ?

Usipende ku complicate life.....
Kwa akili kama zako ndo moja ya sababu ya Tanzania kuendelea kuwa umaskini
Endelea kukumbatia ujinga
 
Mbona umeenda mbali sana uko? ukiachana na elimu hakuna mwafrika anaweza kuwa tajiri namba moja
 
Kwa akili kama zako ndo moja ya sababu ya Tanzania kuendelea kuwa umaskini
Endelea kukumbatia ujinga
Wewe ndio hautambui hata unachoongelea na ndio tatizo kubwa la nchi yetu ndio maana tunaendelea kuwa masikini watu mnakumbatia vyeti kuliko hata uelewa..., Diamond mmoja kwa Taifa hili ni bora kuliko graduates milioni moja ambao walichofanya hakiwasaidii wao wala jamii inayowazunguka...

Mark Twain's quote, "A person who does not read has no advantage over a person who cannot read,"
 
😂😂😂
Kwahiyo jamaa kusema kuwa ndoto yake ni kuwa tajiri namba moja duniani tayari ni kosa, ameshaumiza hisia zako, anajivuna?
Kuna uhalisia na ujinga alichoongea yeye ni ujinga ila kwa level yake ya ufahamu hatushangai, ila kwa mtu mwenye uelewa anajua kama dogo yupo ndotoni
 
Kumbe unaelewa kuwa level yake ya ufahamu ni ndogo, why useme masikini akipata anaona kama wengine hawana?
Yeye kwa uelewa wake mdogo anaamini ana uwezo wa kuwa tajiri namba moja duniani, hiyo ni imani yake, as long as haikuathiri kwa namna yeyote muache kijana aendelee kuamini anachokiamini.
 
Back
Top Bottom